Broken English
Senior Member
- Dec 23, 2018
- 108
- 128
Huyu bidada kwenye dance India hana mpinza hii Filamu tayari ishatoka
Dance pia yuko vizuri.Huyu mpuuzi anajua kung fuu hadi kelo.
Mzungu akasome, hapa nahakika kwa kipigo ataumia.View attachment 985211
Sent using Jamii Forums mobile app
Raynavero SRK is best actor no doubt about it but also you can go and watch him in TED Talk,He talked about Humanity,Love and fame,You can love him more hahahaaa
Suriya, I get some problem here in posting long comment I don't why by the way I was fanboy of Walker since his death Fast is nothing to me.
Hii Jana waeonyesha Star Gold nkaipotezea daah
Kashfa ipi hiyo ya kuchepuka na priyanka chopra.Mstaarabu sana SRK halafu anamheshimu sana mkewe japo ile kashfa yake na PeeCee ilitaka kumharibia
Dance pia yuko vizuri.
Yaap yaapKashfa ipi hiyo ya kuchepuka na priyanka chopra.
Mtaalam nilimuelewa sana kwenye HERO PANTHuyu mpuuzi anajua kung fuu hadi kelo.
Mzungu akasome, hapa nahakika kwa kipigo ataumia.View attachment 985211
Sent using Jamii Forums mobile app
wahindi hapana! nagombana na yf kwa ajili ya mitamthilia ya kihindi ya azam mpk nimehamia kusikiliza radio
Aaaaa mkuu tutake radhi wapenda seriesIndian Telugu, action, comedy and Drama movie.
Mimi niseme tu, hakuna waigizaji wazur duniani kama wahindi,
Kwani wao uigiza maisha ya kwaida hasa ya majumbani na kuelezea sana jinsi ya kutoa malezi na tabia mbali mbali za wana familia
Lakin Mzungu yeye siko zote watu wanamshobokea na mavifaa yake ambayo huku bongo huwez hata kuyakuta,
Tecknologia nying ambazo tunazitazama kwa haraka haraka hata huwez kuona faida ya kuyatizama
Movie za kutumia akili wazungu wanazo lakin tatizo ni kuwa wanazitumia na mavifaa yao ambayo sina uhakika kama ni yaukweli au uhongo, na huku bongo hayapo.
Lakin ukitaka wajanja wa mtaan wapo huku Bollywood, wajanja wa mambo ya kifamilia wapo huku Bollywood. Mapenz ndio usiseme, utajifunza hadi kutongoza kwa kila muigizaji nitae kutajia hapa chin.
Jamani mimi zaman hakuna waigizaj niliokua nawachukia kama wahindi.
Lakini kwa sasa UNIAMBII KITU KUWAPONDA WAHINDI NIKAKUELEWA
I like Bollywood.
Wahindi wa zaman mm siwajui sanaa ila wanaotisha kwa kizazi cha sasa wote wako vizur hatar.
Allu Arjun
Ram charan teja
Tiger shroff- ana hit kwa sasa
NT Rama Rau jr
Hrithic Roshan
Prabhas- aka Bahubali
Ally-comedian
Prakash raj
Bramanadhan- comedian
Bila kuwasahau-
Amir khan
Salman khan
Akshay kumar
Vidyut jamwal
Shahrukh khan
John abraham
Suriya
Kwa wasichana huwa nashindwa kuwakalili majina.
Wasake hao mastar ndio utajua utamu wa Bollywood.
NOTE: Series za kihind sizipendi.
In shot waangalia series wote wanapenda kudanganywa danganywa, ni upuuzi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu tatizo matukio huwa yanachelewa sana, wanakua na polojo nying zisizo na maana.Aaaaa mkuu tutake radhi wapenda series
Unasema tu mkuu haujaangalia Naagin mkuu huwezi acha ifatilia
Bado iliyotoka mwezi wa 12 ya mwanadada adaakhan inaitwa vish ya amrit sitaara
Bado haujaangalia hizo,hautaacha kufatilia
Nikihamia upande wa korea+Chinese drama ndo kabisa nasahau maharage jikoni
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app