Boma la hii ramani litagharimu kiasi gani?

Ongeza laki 9 na mifuko 13 ya cement tukufanyie kazi yote
 
Habari m

Habari mkuu. Kabla ya kujua makadirio sahihi ni bora ukaiwekea vipimo hiyo ramani kulingana na ukubwa wa kiwanja chako. Hivyo utakuwa umepata uhalisia wa makadirio.
 

Mkuu kwani ili nyumba isiteterek na tetemek la richa ndogo inatakiw izingatie nini na nini?

kwa faida ya mwenye uzi
 
Habari m



Habari mkuu. Kabla ya kujua makadirio sahihi ni bora ukaiwekea vipimo hiyo ramani kulingana na ukubwa wa kiwanja chako. Hivyo utakuwa umepata uhalisia wa makadirio.

jamaa kaweka raman we tayar ushaijenga Unamletea picha kabsa[emoji23]

Jamaa ataoa ujenz ni simple asee
 
Vipimo vya nyumba hujaweka, ni vugumu mtu kukadiria. Marefu ni kiasi gani na mapana ni kiasi gani. Lakini pia kiwanja kikoje? kiko level au sehemu moja imeinuka sana?. Assuming kiwanja ni level na ukubwa wa nyumba ni wa kati, hayo makadirio ni sahihi kama utasimamia mwenyewe ununuzi wa vifaa!
 
Ungeweka ziada ya 1.5M maana sijaona gharama ya;

1:kokoto,maji,

2:Mbao (kukodi/kununua), binding wire,misumari kwa ajili ya kufungia mikanda "renta".

BTW: Mfuko wa cement 16K halafu tofali mnauziwa 11,000!

Kanda ya ziwa ingekuwa 13,000/tofali lakini mwaka jana ilikuwa 1000/tofali na cement ikiwa kwenye 19K na 22,000/mfuko kwa Nyati cement.
 

kaweka elf moja na mia moja
 
kwahiyo tuseme 10M ili tujazie ivo vikorokocho japo maji yapo kiwanjan tayar ya idara ya maji
 
Makadirio ya tofali inategemea na kiwanja kikoje hasa makadirio ya tofali za msingi

Kwa uzoefu wangu kwa nyumba kama hiyo kwenye ramani baada ya msingi utahitaji tofali karibu 2000 kukamilisha boma

Kwa ramani hiyo msingi ni kuanzia tofali 1300 hadi 1500 ikitegemea kiwanja kikoje

Hivyo kuandika tofali 2500 zifike boma kuanzia msingi HAPANA

Kwa makadirio ya haraka utahitaji tofali kama 3200 hadi 3500
 
Sijaona sehemu uliyotaja
●kokoto
●ring
●binding wire
●mbao za kukodi
●maji
●misumari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…