Boma linapatikana kwa mauzo – Kimanzichana, Mkuranga

G

guest-1789818704

Guest
Wana-JF, boma linauzwa moja kwa moja kutoka kwa mmiliki. Limefikia kozi 11 na lina potential nzuri kwa mwekezaji anayehitaji kuendeleza ujenzi kulingana na matumizi yake.
🏠 Vyumba 5 – 4 Master
πŸ›‹οΈ Sitting Room | 🍽️ Dining | 🍳 Kitchen | πŸ“¦ Store
πŸ“ Kiwanja: mita za mraba 19m Γ— 17m na 18m Γ— 14m
πŸ’§ Kisima cha maji kipo
⚑ Umeme upo
πŸ—οΈ Kifusi tayari kimeshamwagwa
πŸ“ Location: Kimanzichana kwa Gongo, Mkuranga – Pwani.
🚢 Dakika 3 tu kwa miguu kutoka Kilwa Road, na ukiwa kwenye site barabara ya lami inaonekana.
Kwa bei ya 18,500,000 maongezi yapo
πŸ’‘ Linafaa kwa makazi, nyumba za kupangisha, Guest House, zahanati au uwekezaji mwingine kulingana na mahitaji ya mnunuzi.
πŸ“„ Hali ya umiliki haina mgogoro.
πŸ‘€ Site visit ni bure. Mwekezaji/mnunuzi mwenye interest, tufanye mazungumzo ya bei na utaratibu wa mauziano.
πŸ“ž 0622 267 144
Mmiliki mwenyewe
 

Attachments

  • 20260825_131454.jpg
    1.5 MB · Views: 20
  • 20260825_131351.jpg
    1.2 MB · Views: 21
  • 20260825_132325.jpg
    1.5 MB · Views: 16
  • 20260825_132802.jpg
    1 MB · Views: 22
  • 20260825_133305.jpg
    1 MB · Views: 18
  • 20260825_133333.jpg
    1.8 MB · Views: 16
  • 20260825_133338.jpg
    969.6 KB · Views: 15
  • 20260825_133348.jpg
    1 MB · Views: 14
  • 20260825_133656.jpg
    1.1 MB · Views: 14
  • 20260825_133321.jpg
    1.6 MB · Views: 13
  • 20260825_132337.jpg
    1.4 MB · Views: 15
Aisee vyumba vitano vimeingia kwenye sqm 285 yani 15Γ—17... Parking ipo?
Parking ipo ya gari 1 na nyuma pan sehemu ya kuchimba kalo la choipia eneo lipo ndani ya uzio mdogo sasa sijajua kama ntakuwa nimefanya makadilio ambayo hayako sawa kwenye sqm maana ukubwa wa kiwanja ni 19m Γ— 17m na 18m Γ— 14m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…