G
guest-1789818704
Guest
- Thread starter
- #21
View tena mkuu picha nimesha weka ukubwa wa kiwanja ni 19m × 17m na 18m × 14mPicha zipo mkuu ncheki nkutumie 0622267144
View tena mkuu picha nimesha weka ukubwa wa kiwanja ni 19m × 17m na 18m × 14mPicha zipo mkuu ncheki nkutumie 0622267144
View tena mkuu picha nimesha weka ukubwa wa kiwanja ni 19m × 17m na 18m × 14mAisee vyumba vitano vimeingia kwenye sqm 285 yani 15×17... Parking ipo?
View tena mkuu picha nimesha weka ukubwa wa kiwanja ni 19m × 17m na 18m × 14mSawa wacha nipandishe picha
View tena mkuu picha nimesha weka ukubwa wa kiwanja ni 19m × 17m na 18m × 14mBoma halina bei Mkuu pamoja na picha yake.
Nimeangalia lipo vizuri mkuu utauza kama bei yako ni rafiki kutokana na mazingira ya huko.View tena mkuu picha nimesha weka ukubwa wa kiwanja ni 19m × 17m na 18m × 14m
Kuhusu bei sio shida muwekezaji apige simu tuyajengeNimeangalia lipo vizuri mkuu utauza kama bei yako ni rafiki kutokana na mazingira ya huko.
Nyumba yako unajiwekea password kuuza mkuu haujaona wa daslm wanataja tu 5.4 bilioni endelea kukumbatia bei kwenye biashara.Kuhusu bei sio shida muwekezaji apige simu tuyajenge
KaribuHili kwa kufugia Rottweiler wangu litanifaa sana, wacha nije chap kuliona
Upo sahii mkuu. All the best upate wepesi jengo liende chapParking ipo ya gari 1 na nyuma pan sehemu ya kuchimba kalo la choipia eneo lipo ndani ya uzio mdogo sasa sijajua kama ntakuwa nimefanya makadilio ambayo hayako sawa kwenye sqm maana ukubwa wa kiwanja ni 19m × 17m na 18m × 14m
Wana-JF, boma linauzwa moja kwa moja kutoka kwa mmiliki. Limefikia kozi 11 na lina potential nzuri kwa mwekezaji anayehitaji kuendeleza ujenzi kulingana na matumizi yake.
🏠 Vyumba 5 – 4 Master
🛋️ Sitting Room | 🍽️ Dining | 🍳 Kitchen | 📦 Store
📐 Kiwanja: mita za mraba 19m × 17m na 18m × 14m
💧 Kisima cha maji kipo
⚡ Umeme upo
🏗️ Kifusi tayari kimeshamwagwa
📍 Location: Kimanzichana kwa Gongo, Mkuranga – Pwani.kwa bei 18,500,000 Maongezi yapo
🚶 Dakika 3 tu kwa miguu kutoka Kilwa Road, na ukiwa kwenye site barabara ya lami inaonekana.
💡 Linafaa kwa makazi, nyumba za kupangisha, Guest House, zahanati au uwekezaji mwingine kulingana na mahitaji ya mnunuzi.
📄 Hali ya umiliki haina mgogoro.
👀 Site visit ni bure. Mwekezaji/mnunuzi mwenye interest, tufanye mazungumzo ya bei na utaratibu wa mauziano.
📞 0622 267 144
Mmiliki mwenyewe
No password bei 18,500,000 maongezi yapoNyumba yako unajiwekea password kuuza mkuu haujaona wa daslm wanataja tu 5.4 bilioni endelea kukumbatia bei kwenye biashara.
Ukitoa mguu nje tu umegongwa na bodaboda.
Kimanzichana sio mbali sana kutoka mjini kati? Ningenunua 😊
Pagale bado lipo mwekezaji yeyote karb kwa mawasiliano zaid ni kilometer 68 kutoka dar na ni dk 3 mpaka saitiWana-JF, boma linauzwa moja kwa moja kutoka kwa mmiliki. Limefikia kozi 11 na lina potential nzuri kwa mwekezaji anayehitaji kuendeleza ujenzi kulingana na matumizi yake.
🏠 Vyumba 5 – 4 Master
🛋️ Sitting Room | 🍽️ Dining | 🍳 Kitchen | 📦 Store
📐 Kiwanja: mita za mraba 19m × 17m na 18m × 14m
💧 Kisima cha maji kipo
⚡ Umeme upo
🏗️ Kifusi tayari kimeshamwagwa
📍 Location: Kimanzichana kwa Gongo, Mkuranga – Pwani.
🚶 Dakika 3 tu kwa miguu kutoka Kilwa Road, na ukiwa kwenye site barabara ya lami inaonekana.
Kwa bei ya 18,500,000 maongezi yapo