G
guest-1789818704
Guest
- Thread starter
- #41
Pagale bado lipo mwekezaji yeyote karb kwa mawasiliano zaid ni kilometer 68 kutoka dar na ni dk 3 mpaka saitiWana-JF, boma linauzwa moja kwa moja kutoka kwa mmiliki. Limefikia kozi 11 na lina potential nzuri kwa mwekezaji anayehitaji kuendeleza ujenzi kulingana na matumizi yake.
π Vyumba 5 β 4 Master
ποΈ Sitting Room | π½οΈ Dining | π³ Kitchen | π¦ Store
π Kiwanja: mita za mraba 19m Γ 17m na 18m Γ 14m
π§ Kisima cha maji kipo
β‘ Umeme upo
ποΈ Kifusi tayari kimeshamwagwa
π Location: Kimanzichana kwa Gongo, Mkuranga β Pwani.
πΆ Dakika 3 tu kwa miguu kutoka Kilwa Road, na ukiwa kwenye site barabara ya lami inaonekana.
Kwa bei ya 18,500,000 maongezi yapo
π‘ Linafaa kwa makazi, nyumba za kupangisha, Guest House, zahanati au uwekezaji mwingine kulingana na mahitaji ya mnunuzi.
π Hali ya umiliki haina mgogoro.
π Site visit ni bure. Mwekezaji/mnunuzi mwenye interest, tufanye mazungumzo ya bei na utaratibu wa mauziano.
π 0622 267 144
Mmiliki mwenyewe