Boma linapatikana kwa mauzo – Kimanzichana, Mkuranga

Parking ipo ya gari 1 na nyuma pan sehemu ya kuchimba kalo la choipia eneo lipo ndani ya uzio mdogo sasa sijajua kama ntakuwa nimefanya makadilio ambayo hayako sawa kwenye sqm maana ukubwa wa kiwanja ni 19m × 17m na 18m × 14m
Upo sahii mkuu. All the best upate wepesi jengo liende chap
 
 
Wana-JF, boma linauzwa moja kwa moja kutoka kwa mmiliki. Limefikia kozi 11 na lina potential nzuri kwa mwekezaji anayehitaji kuendeleza ujenzi kulingana na matumizi yake.
🏠 Vyumba 5 – 4 Master
🛋️ Sitting Room | 🍽️ Dining | 🍳 Kitchen | 📦 Store
📐 Ukubwa wa eneo: 19m × 17m na 18m × 14m
💧 Kisima cha maji kipo
⚡ Umeme upo
🏗️ Kifusi tayari kimeshamwagwa
📍 Location: Kimanzichana kwa Gongo, Mkuranga – Pwani.
🚶 Dakika 3 tu kwa miguu kutoka Kilwa Road, na ukiwa kwenye site barabara ya lami inaonekana.
💡 Linafaa kwa makazi, nyumba za kupangisha, Guest House, zahanati au uwekezaji mwingine kulingana na mahitaji ya mnunuzi.
📄 Hali ya umiliki haina mgogoro.
💰 Bei: TSh 18,500,000
Maongezi yapo kwa serious investor/buyer.
👀 Site visit ni bure.
📞 Serious investor/buyer piga simu: 0622 267 144
Mmiliki mwenyewe — sio dalali.

 

Attachments

  • 20260825_133455.jpg
    1.2 MB · Views: 11
Bado lipo kozi ya 11 kwa beinya 18,500,000 maongezi yapo
 
Kwa yeyote mwenye kutaka kutizama karb sait kukagua na uweze kuendeleza katika mpango wako wa uwekezaji kwa bei ya 18,500.000 mazungumzo yapo karbn sana mkuranga pwani kimanzichana
 
Kimanzichana sio mbali sana kutoka mjini kati? Ningenunua 😊

Kutoka dar ni kilometa 68 kutoka kilwa road mpaka saiti ni d3 kwa miguu pana fikika 24hours na ukiwa saiti kilwa road inaonekana
 
Unfinished project bado ipo karb kwa yeyote yule awasiliqne na mm moja kwa moja kwenye namba zilizopo kwenye tangazo kwa maelezo zaid
 
Pagale bado lipo mwekezaji yeyote karb kwa mawasiliano zaid ni kilometer 68 kutoka dar na ni dk 3 mpaka saiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…