Bomba kubwa la maji linalogawa maji katika maeneo ya Kibanda cha mkaa, Kwa Msuguri, Temboni na suka, Lapata hitilafu hivyo kuna hatihati ya kukosa maji kwa siku hizi mbili tatu.
Habari ndugu wateja kutokana na Mvua kubwa imeathiri miundombinu ya Bomba kubwa eneo la kibanda Cha mkaa linaloleta maji maeneo ya kibanda Cha mkaa msuguri temboni na suka
Tayari mobilization ya equipment na materials yapo site na kazi inaweza Anza muda wowote kuhakikishia huduma inarejea maeneo tajwa
Hapa mahala kila mvua zikinyesha lazima palete shida ktk hilo Bomba, nafikiri wataalamu wetu wangetafuta njia mbada ya kulikwepesha hilo bomba maana maji ya mvua yanakuja kwa nguvu kubwa sana hapo.