mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Mbona hata TAZAMA itapitia hifadhi ya mikumi,Mabeberu hawapendi kuona tukiendelea mbele
Kumbuka
Kumbuka sisi hatuna mafuta,
Waganda ndiyo wanataka kuleta mafuta yao kwetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hata TAZAMA itapitia hifadhi ya mikumi,Mabeberu hawapendi kuona tukiendelea mbele
Akili za bangi hiziHalina manufaa yoyote hata likiondolewa
adi Chongoleani mkoani Tanga, Tanza
Hapana. Jirani hana hiyana katika hili. Hawa watakuwa wametumwa na mabeberu wa magharibi. Mwenye majina ya hayo mashirika yaliyofungua kesi atuletee tuyachunguze tujue wametumwa na nani.Hayo mashirika yaliyoenda mahakamani lazima yatakuwa kutoka hapo jirani kwa nya. Ng'au!
Eeenh, eti "jirani hana hiana katika hili"?Hapana. Jirani hana hiyana katika hili. Hawa watakuwa wametumwa na mabeberu wa magharibi. Mwenye majina ya hayo mashirika yaliyofungua kesi atuletee tuyachunguze tujue wametumwa na nani.
Utazungumza na Nani?hii kesi haijafunguliwa Kwenye mahakama Zenu za LumumbaYanazungumzika!
Huwezi hata kuweka chanzo cha habari?Mashirika manne yasiyo ya kiserikali yamekwenda kwenye mahakama ya Afrika Mashariki ili kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki EACOP uliofanywa na Uganda na Tanzania.
Mabandiko yake yanaonesha anasomasoma sheria ila anaitumia kwa kUliwahi kumuona akifanya kazi ya uanasheria? Hii itasaidia kuondoa shaka yangu.
Unanishambulia mimi kwani ndio nimefungua hizo kesi?Mkuu,
Umekula ngapi kuja kuweka bango hili mtadaoni?
Usipoteze muda wako kushadadia nia OVU za wateja wako haziwezi kufanikiwa kwa vyovyote vile.
Mradi wa Stigler's Gorge (JK Nyerere Hydropower Generation Dam) mlipinga kwa mtindo huu wa environmental and human rights risk assessment but the reasoning did not hold water to halt its construction.
This time around you are taking a hitch on another mega project to paralyze the anticipated economy prospect which blockage shall not make it.
After all Tanzania has withdrawn ratification of the treaty on human rights contending it was aimed to stagnate progress unreasonably.
The crude oil piping project from Hoima Uganda to Chongoleani Tanga through different regions of teh United Republic of Tanzania shall be constructed without resistance whether by legal objection or advanced conflict the plan prevails.
Usinifokee! Chanzo cha habari niliweka moderator wakaeditHuwezi hata kuweka chanzo cha habari?
Hata kuyataja tu hayo "Mashirika manne" huwezi, halafu unaomba msaada wa wajua sheria kwa taarifa ambayo hata haielezi lolote kuhusu ushauri unaotafuta?
Kuanzisha mada kama hii, halafu huelezi kinagaubaga maudhui yake kunaonyesha upungufu mkubwa. Badala ya kuweka hayo mapicha ungejikita kueleza kwa kina hayo mashirika yanapinga nini. Unasema kupitisha bomba kwenye hifadhi ya wanyama, ni hifadhi gani hizo?
Pascal Mayalla njoo utoe ufafanuzi wa kisheria achana na mambo ya akina halima na Chadema
nimeoa hukoEeenh, eti "jirani hana hiana katika hili"?
Umeolewa huko nini?
Watu wengine huwa mnajiandikia hapa bila hata ya kuwa na ufahamu wa mambo mnayoandika juu yake.