Bombardier iliyokuwa imeshikwa imeanza safari kutokea Canada to Tanzania.

good news...angalau ije Bongo ifanye kazi..wazungu wabaya sana...hao waCanada ndio hao hao akina Acacia wanaonyanyasa waafrika na rasilimali zao..lakini uncle Magu amewakamata vizuri kwenye make*de huku ameshika pliers mkononi😀😀😀
 
good news...angalau ije Bongo ifanye kazi..wazungu wabaya sana...wacanada ndio hao hao akina Acacia..lakini uncle Magu amewakamata kwenye make*de huku ameshika pliers mkononi😀😀
Ndege imeshikiliwa kwa muda gani? Nani kakamatwa makende hapo. Ingekuja kwa wakati ingetengeneza fedha kiasi gani?

Acheni kuweka akili zenu matakoni. Hakuna nchi inayoishi in isolation....labda hii ya kwenu republic of banana.

Mnaishangilia China, mnajua viwanda vikubwa china bi viwanda vya nchi gani?
 
sasa hasira ya nini huku ninawapongeza mkuu?😀😀😀mmepata ndege yenu angalau ije isaidie nchi..sio kukaa kwenye garage ya ng'ambo inamea kutu bure
 
Hahaha si kwa povu hilo...
 
Kwani makinikia yameshikiliwa kwa muda gani?
Hiyo inaitwa ukiweka ugoko(shin/shinbone) Magufuli anakuwekea jiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…