BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Itawasili 31/03/2018 11:35 Asubui. Uwanja wa zamani karibuni nyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mchawi kweli,Washalipa deni
Hakuna jipya
Hata mkileta nn 264 tutawanyoosha tu!
Halafu nashangaa wengine kusifia vitu ambavyo n wajibu wa rais kuvifanya
Halafu unaweza enda na mzigo hadi kg25,Ije tu kwakweli maana nauli zao ni nafuu sana...Imenisaidia sana kwa safari za Mwanza
Hizo sasa ni hatred mkuu, tena zisizo na sababu yoyote.Nasikia zinaenda chattle Kwanza
Polee huyo jamaa ana maswali yenye harufu ya ukenya!wewe Makalio kweli Kenya yaingilia aje hapa
cheki ulivyo zwazwa Bombardierq400 ni $32m siku nyingine uache kuropokaMnafurahia bombardier mliyoinunua kwa $ million 100 badala ya $ million 62
cheki ulivyo zwazwa Bombardierq400 ni $32 siku nyingine uache kuropokaMnafurahia bombardier mliyoinunua kwa $ million 100 badala ya $ million 62
cheki ulivyo zwazwa Bombardierq400 ni $32m siku nyingine uache kuropoka
Achana na me mbwea wewe!!We una roho mbaya ya wivu na uchawi, kafie mbele hukooo!! Rais wetu yuko vizuri, wapinzani uchwara jinyongeni kwa kuwa hamlitakii taifa mema.
Nyie mnatakiwa mjadiliane jinsi ya kujenga ofisi ya chama chenu na sio kuendelea kupanga ufipa kwa baba mkwe.Mnafurahia bombardier mliyoinunua kwa $ million 100 badala ya $ million 62
Wakijinyonga maiti zao ndo itakuwa chakula ya mkeo au?We una roho mbaya ya wivu na uchawi, kafie mbele hukooo!! Rais wetu yuko vizuri, wapinzani uchwara jinyongeni kwa kuwa hamlitakii taifa mema.
Hahah wewe ndiye unasemaga ati Wakenya hawajishughulishi na mambo ya Tanzania.Hii Bombardier kwani inakuja na meli mbona haijawasili? Picha??
Bombardier iko wapi?Hahah wewe ndiye unasemaga ati Wakenya hawajishughulishi na mambo ya Tanzania.
Bombardier Q400 requires at least 6times refueling right from Canada to Tz, how do u expect it to be already Landed in Tz?Bombardier iko wapi?
Unakuwaga na wasiwasi kama mwanamkeBombardier iko wapi?