Bombardier iliyokuwa imeshikwa imeanza safari kutokea Canada to Tanzania.

Delivery Flight!!* Air Tanzania Bombardier Dash-8 Q400 (DH8D) departing Montreal (YUL/CYUL)










 
Kwahiyo ukutaka ndege ije ? Pia unapinga swala la Magufuli kuwabana wazungu wa madini.
 
Hahaha si kwa povu hilo...
Naona pilot ni wazungu , campuni ya air Tanzania inaanza upya, kumaanisha you are only starting to employ, kwani Tz hakunaa pilot? Kama mnaanza na pilot wazungu ndege ya pili, je mkifika ndege kumi mtakua mnaandika kazi pilot wa kutoka wapi kama kila ndege itahitaji pilot kufanya kazi in shifts, leo huyu kesho yule....
 
It is a delivery. It is not even displaying Tz registration yet. They probably opted to have it delivered rather than collect since it is slated for regional travel. Just my two cents!
 
good news...angalau ije Bongo ifanye kazi..wazungu wabaya sana...hao waCanada ndio hao hao akina Acacia wanaonyanyasa waafrika na rasilimali zao..lakini uncle Magu amewakamata vizuri kwenye make*de huku ameshika pliers mkononi😀😀😀
Hahahaha well said walahi
 
Hii sio hoja
Hapo ni Ndege kuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…