Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Not ur fault coming from a country with a name similar to Kunya.Picha kwa Hii taarifa ni ya KQ ikipaa angani so ni ya Kenya. Next povu statement please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not ur fault coming from a country with a name similar to Kunya.Picha kwa Hii taarifa ni ya KQ ikipaa angani so ni ya Kenya. Next povu statement please.
Rusha Picha babaa ya maselfie.Mlisema haiji. SASA imekuja niko ndani tunapiga selfie.
Ahaaa haaa haaa
Kwani husherekei na wenzako?Not ur fault coming from a country with a name similar to Kunya.
Ka GoogleHivi kutoka canada hadi Dar ni masaa mangapi. Mbona haifiki
Dreamliners zinaingia June?
Hapa kwenye loss and profit account zetu hakuna amortization of loan wala nini?Dreamliners zinaingia June?
mliagiza lini B787? Kama mliagiza mwaka huu muingojee 2021, kama ni 2017 mtaingoja hadi 2020. Mnadanganywa virahisi kama wadanganyika kwa nini? It takes 2years from point of ordering to delivery.Julai, B 787-8 moja na CS 300 mbili. Siku si nyingi tutaagiza Dreamliner ya 2.
Hujui ulisemalo.. ulivyo uliza tumeagiza lini ungeishia hapo hapo mpaka utakapo pewa jibu then unge endelea kubwabwaja pumba zako. Halafu hivi vitu ni vigeni kwenu, hamjui procedures za ku order ndege kwa kutoa cash, You just relax sit on your kigoda grab your plate of githeri uone midege ina vyokuja [emoji13]mliagiza lini B787? Kama mliagiza mwaka huu muingojee 2021, kama ni 2017 mtaingoja hadi 2020. Mnadanganywa virahisi kama wadanganyika kwa nini? It takes 2years from point of ordering to delivery.
mliagiza lini B787? Kama mliagiza mwaka huu muingojee 2021, kama ni 2017 mtaingoja hadi 2020. Mnadanganywa virahisi kama wadanganyika kwa nini? It takes 2years from point of ordering to delivery.
Paid by our budget's cash $224.6 mln, no Afroeximbank loan with us! One more has been ordered.Hamna dreamliner inakuja mwaka huu. Tag me if it does.
Hamna dreamliner inakuja mwaka huu. Tag me if it does.

Tag me mkipata dreamliner mwaka huu.
☰
AIR TANZANIA TO BECOME A DREAMLINER CUSTOMER
Air Tanzania to Become a Dreamliner Customer
![]()
December 14
07:142016
by Airways
MIAMI — Air Tanzania has been disclosed as a previously unidentified customer for a single Boeing 787-8, valued at $224.6 million at list prices.
The order follows private meetings that Jim Deboo, Africa region sales and marketing director for Boeing, held with John Magufuli, president of the United Republic of Tanzania during a visit last week.
![]()
“The 787 Dreamliner will be the flagship aircraft as we renew and grow the Air Tanzania fleet. We aim to establish our long-haul capability by starting flights to Europe, Asia and the United States over the coming years and the 787 is the perfect aircraft to achieve this ambition,” the airline said in a statement.
The announcement is the latest in a series of aircraft acquisitions for Air Tanzania. Last December 2, the carrier announced a firm order for two Bombardier CS300s and two Q400s turboprops, and earlier this year, the carrier took delivery of two Q400s with an all-economy, 76-seat cabin configuration.
Air Tanzania is the flag carrier of Tanzania, based in Julius Nyerere International Airport ni Dar es Salaam, and currently flies to several domestic destinations.
The acquisition of these new aircraft is part of a turn-around plan for the company, intended to serve as a tool to transform the country into a regional transportation hub while boosting the tourism industry of the country, which currently brings in around $2 billion a year.
Air Tanzania to Become a Dreamliner Customer - Airways Magazine
Ni ya kwetu halafu tukalease kwa nchi fulani sasa tumeiagiza ije ifanye kazi katika route Kenya na U.S.AKenya si Mme lease siyo ya kwenu
Idiot, Rwanda haina Dreamliner. As for Kenya u can't claim the ownership of the 9 dreamliners till u clear the whole loan in 2025. Unfortunately u have already started to default paying the debt n after seeing receivership process on the way u started forcing a debt conversion to a stake to ur local banks.Je wajua Kenya tayari ina dreamliner? Kwa hivyo wacha kubwabwaja. Je wajua Rwanda kanchi kadogo kana dreamliner? Kwa hivyo wacha kubwabwaja. Je wajua Ethiopia ina dreamliner? Kwa hivyo wacha kubwabwaja.
Wameorder dreamliner kama tu nyie. Tanzania hamuwezi fikia Rwanda. Wana Airbus mbili, na pia wana 737 kadhaa. Nyinyi mnang'ang'ana na libombadier inayonyonya mafuta mara sita kutoka Canada hadi Tanzania.Idiot, Rwanda haina Dreamliner. As for Kenya u can't claim the ownership of the 9 dreamliners till u clear the whole loan in 2025. Unfortunately u have already started to default paying the debt n after seeing receivership process on the way u started forcing a debt conversion to a stake to ur local banks.