Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Konoike company washafungua kesi kutekeleza hukumu ya kuichukua bombardier kutokana na kuvunjwa kwa mkataba na tanroad ya tanzania. Utaratibu wa kuizuia bombardier canada unaanza.
Source:the citizen tanzania, konoike Company
Dawa ya deni ni kulipa si ndio matamshi au maneno ya jpm tuone sasa.wafilisi tu, maana hamna namna
With chademaquine[emoji1] [emoji3] [emoji2]Konoike company washafungua kesi kutekeleza hukumu ya kuichukua bombardier kutokana na kuvunjwa kwa mkataba na tanroad ya tanzania. Utaratibu wa kuizuia bombardier canada unaanza.
Source:the citizen tanzania, konoike Company
Angeongezwa na "prince"WAJE WAMCHUKUE NA GIGI MONEY NA AMBER LULU
Safari hii mwana siasa gani kahusika?Konoike company washafungua kesi kutekeleza hukumu ya kuichukua bombardier kutokana na kuvunjwa kwa mkataba na tanroad ya tanzania. Utaratibu wa kuizuia bombardier canada unaanza.
Source:the citizen tanzania, konoike Company
we jamaa hz pic huwa unazitoa wapi?Poleni mazee, hapa naona Kama wtz mmefanya hivi..View attachment 598338
Inabidi tuchill tuone yatakayojiri[emoji3] [emoji125] View attachment 598339
hahahahaaa.....bro una vituko sana.hivi ni malindi au watamu ndio kumekufanya hivi??Poleni mazee, hapa naona Kama wtz mmefanya hivi..View attachment 598338
Inabidi tuchill tuone yatakayojiri[emoji3] [emoji125] View attachment 598339