Labda nikukumbushe 90% ya wanachama na viongozi wa upinzani walikuwa TANU/CCM kabla ya kujiunga na upinzani. Wengi wanatambuwa changamoto zilizokuwepo nyakati hizo. Ila sasa wanaweka siasa mbele na kujivuwa lawama. Waulize kina Mzee Mtei, Lowassa, Lipumba, Maalim Seif, Mzee Kingunge, hata Nyalandu, kama hawakuwepo wakati nchi hii inapitia changamoto.Hivi walioingiza Tanzania kwenye mikataba mibovu na madeni ni upinzani ? Mnavyo comment ni kama vile Hii nchi ilikuwa ikitawaliwa na vyama vya upinzani toka ipate uhuru. Hebu oneni aibu jinsi mnavyochangia !
Labda nikukumbushe 90% ya wanachama na viongozi wa upinzani walikuwa TANU/CCM kabla ya kujiunga na upinzani. Wengi wanatambuwa changamoto zilizokuwepo nyakati hizo. Ila sasa wanaweka siasa mbele na kujivuwa lawama. Waulize kina Mzee Mtei, Lowassa, Lipumba, Maalim Seif, Mzee Kingunge, hata Nyalandu, kama hawakuwepo wakati nchi hii inapitia changamoto.
Ungesoma niliyemjibu kupata picha kamili ya jibu langu. Upinzani ni sehemu ya matatizo maana na wao walikuwepo wakati wa changamoto zilizo tokea na zinazo endelea kutokea. La mgambo likilia halichaguwi huyu mpinzani, huyu wa chama tawala.Kwahiyo upinzani ndio wameleta matatizo yote hayo?
Ungesoma niliyemjibu kupata picha kamili ya jibu langu. Upinzani ni sehemu ya matatizo maana na wao walikuwepo wakati wa changamoto zilizo tokea na zinazo endelea kutokea. La mgambo likilia halichaguwi huyu mpinzani, huyu wa chama tawala.
Yes, Mtei, Lowassa, Kingunge, Maalim Seif, Lipumba, Sumaye na wengine wengi. Katika nyakati zao tofauti waliwahi kutoa maamuzi ambayo yalikuwa ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Upinzani walikua sehemu ya matatizo? Wamewai kuongoza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Yes, Mtei, Lowassa, Kingunge, Maalim Seif, Lipumba, Sumaye na wengine wengi. Katika nyakati zao tofauti waliwahi kutoa maamuzi ambayo yalikuwa ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani unamapungufu ya kujuwa nafasi ya chama ndani ya serikali. Kwa mtazamo wako serikali ni rais, hilo ni kosa la kupindukia. Chama kinakuja na ilani yake mfukoni itakayo tumika kuongoza serikali kwa kipindi cha miaka 5. Viongozi niliowataja hapo juu ambao sasa hivi wako upinzani, walikuwa wanatekeleza hiyo ilani. Rais ni msimamizi kuona ilani inafuatwa, lakini kwako unafikiri lazima upinzani ushike urais ndio wakubali lawama. Hata KUB na team yake ni washiriki wa serikali kwa maana wanashiriki kupitisha na kusimamia bajeti na upande wa pili wanapokea ruzuku.Eti waliwai kutoa maamuzi, kuna mmoja wao hapo alikua Rais? Mtoa maamuzi ya mwishi ni Rais. Ccm ni kansa, ndio imeleta matatizo yote haya, bora mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi.
Chama kinanuka rushwa, ufisadi.
Nadhani unamapungufu ya kujuwa nafasi ya chama ndani ya serikali. Kwa mtazamo wako serikali ni rais, hilo ni kosa la kupindukia. Chama kinakuja na ilani yake mfukoni itakayo tumika kuongoza serikali kwa kipindi cha miaka 5. Viongozi niliowataja hapo juu ambao sasa hivi wako upinzani, walikuwa wanatekeleza hiyo ilani. Rais ni msimamizi kuona ilani inafuatwa, lakini kwako unafikiri lazima upinzani ushike urais ndio wakubali lawama. Hata KUB na team yake ni washiriki wa serikali kwa maana wanashiriki kupitisha na kusimamia bajeti na upande wa pili wanapokea ruzuku.
Kuondoka CCM na kujiunga upinzani ni kama vile mtu aliyekuwa mlevi au mchawi mwenye dhambi kuamua kuachana na hayo na kuwa mcha Mungu.Labda nikukumbushe 90% ya wanachama na viongozi wa upinzani walikuwa TANU/CCM kabla ya kujiunga na upinzani. Wengi wanatambuwa changamoto zilizokuwepo nyakati hizo. Ila sasa wanaweka siasa mbele na kujivuwa lawama. Waulize kina Mzee Mtei, Lowassa, Lipumba, Maalim Seif, Mzee Kingunge, hata Nyalandu, kama hawakuwepo wakati nchi hii inapitia changamoto.
Haha, naheshimu maoni yako lakini kwajinsi navyoona mimi kwa vyama vya hapa Tanzania na vya kusini mwa janga la Sahara, ni kama kujivua ngozi ya nyani na kujivika ngozi ya sokwe.Kuondoka CCM na kujiunga upinzani ni kama vile mtu aliyekuwa mlevi au mchawi mwenye dhambi kuamua kuachana na hayo na kuwa mcha Mungu.