Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Labda nikukumbushe 90% ya wanachama na viongozi wa upinzani walikuwa TANU/CCM kabla ya kujiunga na upinzani. Wengi wanatambuwa changamoto zilizokuwepo nyakati hizo. Ila sasa wanaweka siasa mbele na kujivuwa lawama. Waulize kina Mzee Mtei, Lowassa, Lipumba, Maalim Seif, Mzee Kingunge, hata Nyalandu, kama hawakuwepo wakati nchi hii inapitia changamoto.Hivi walioingiza Tanzania kwenye mikataba mibovu na madeni ni upinzani ? Mnavyo comment ni kama vile Hii nchi ilikuwa ikitawaliwa na vyama vya upinzani toka ipate uhuru. Hebu oneni aibu jinsi mnavyochangia !