Domo lako refu kama chupa ,kazi umbea tuuuu.Mna yenu kibao.Mara uchaguzi fake hatuingii bungeni,mara wanaapa kuwa watiifu serikali ya kamhuri ya Muungano ya Tanzania.Haya ya bombardier na Simba ni very minor .Mnafikiri ndege zinatua tu popote pale zinapotaka?
Ishu sio bandiko, ukweli wa hayo ayasemayo. Zitolewe details, nani alifuatwa au kupigiwa simu, sio porojo tu halafu mtu uamini. Tujiridhishe, hivyo aturidhishe Kama kweli
Chato to dsm via domKwa biashara ipi?
kwa akili hizi hata Msumbiji watatuzidiMkuuu zile sioo BOMBADIER 75 PAX
KA GOOGLE UTAELEWA
UKIONDOA KUNA PESA ZA ANGA WANAZOPITA WAKISHUKA KU BADILI MAFUTA N HELA ...NA WANALALAA N HELA ........
THEN ANGALIA WALIKUWA WANGAPI JUMLA SO KWA NJE. TUNAPIGA KELELE NA NDIO NYIE KAMPUNI IKIFA TUMEBEBA WACHEZAJI SIMBA BILA FAIDA MNACHEKA KILA SEHEMU
ATCL AWAFANYI MAKOSA TENA MKUU WANGEKODI ZA UPANDE WAPILI SOWANA HELA ALLAH
WACHA ZILALE TUKIWA ATUNA HASARA KULIKO KUPAKIZA WAHUNI NA HASARA NA BADO TUFUNGWE LOH
Hahahahahaha! Maarifa ndio utu, usipokuwa na maarifa unapoteza utu wako. Hata namna ya kujenga hoja inakosekana masikini wee!Halafu huu ndio ujinga wa watanzania.Sasa ninyi wafanyakazi wa ATCL,mlijua Simba na Namungo zinasafiri kwa Bajaji?
Hadi waje kuwanyenyekea?Hamna afisa masoko?
Jipangeni muache tabia hii.Ndio maana wakenya wanapewa kipaumbele kwenye ajira kama hizi.Mtu mzima huna hata aibu unataka ushahidi wa kipuuzi
Hehe ... umepanickDomo lako refu kama chupa ,kazi umbea tuuuu.Mna yenu kibao.Mara uchaguzi fake hatuingii bungeni,mara wanaapa kuwa watiifu serikali ya kamhuri ya Muungano ya Tanzania.Haya ya bombardier na Simba ni very minor .
Sija panic ndugu yangu Kobello,nakupa ile yenyewe.Hehe ... umepanick
Mbona wameshaapa wale kina mama?Sija panic ndugu yangu Kobello,nakupa ile yenyewe.
walikataliwa, Ila baada ya kuandika hapa ATCL wamewafuata SimbaWaulize Simba na mmiliki wake Mo je walienda kukodi ndege Atcl wakakataliwa?
C.E.O ATCL amesalimu amri, katuma maafisa biashara wake na Simba wamekodishiwa ndege kwenda Zimbabwe na itawasubiri mpaka wamalize mechi wiki ijayo.Wakumpongeza hapa ni Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli aliyenunua madege ya Magufuli, akaanzisha ATCL badala ya ATC, akateua CEO na watendaji Wakuu na akateua Bodi ya Wakurugenzi, kwa kutotoa agizo toka juu, huwa ni Sheria, dege moja liwapeleke Simba. Pia pongezi zimwendee CEO ambaye hakujipendekeza kwa aliyemteua kuruhusu Simba wapelekwe Nigeria kwenda kufungwa na kurudi wakilalamika Uwanja haukuwa mzuri. ATCL ina madege aina tatu, ya kwanza Bombardier inachukua abiria 75, ya pili Airbus inachukua 130 na ya tatu Dreamliner inachukua 262, aina zote tatu zinauwezo wa kufika Abuja na kurudi. Simba inakwenda Abuja, Nigeria na wachezaji 11 watakaocheza na kufungwa kwa dakaki 90 tu na kugeuza kurudi wakiimba kujisifu walivyocheza vizuri ingawa wamefungwa kwa sababu ya Uwanja. Kenya Airways na Ethiopian moja kwa moja au kwa kuunganisha zina safari za kawaida kwenye ruti hiyo na nauli kwa kila abiria hata ATCL wanaijua kwa sababu ni ya IATA. ATCL ni Shirika la Safari za Anga na madege yake ni ya abiria lakini halitoi huduma kwenye ruti hiyo ingawa madege yapo yamepark yakingoja safari lakini yanaweza kukodishwa. Simba wanatakiwa kwenda Mwanza na wachezaji 11 basi lao limeharibika wanakodi basi la Musukuma Bus Service la abiria 65 lakini Simba wanakwenda na wachezaji 11 tu washangiliaji wanachama wao watawakuta huko. Musukuma nauli yake ni sh. 30,000 kwa kiti anadai sh. 1,950,000 kwa viti 65 na kwa kuwa Simba wamekodi basi lote wanakubali kulipa na kwenda kufungwa wakilalamika Uwanja wa Kirumba siyo mzuri. Yanga wanapeleka timu ya wachezaji 11 Mwanza kwa mchezo wa Jumamosi kwa basi la Musukuma walikopata nafasi maana madege yamepark mpaka wiki ijayo maana yanaenda mara moja tu kwa wiki yakingoja kwenda London na China. Vichwa vya wanaCCM visivyo na akili kabisa vinataka Serikali yao ingeruhusu madege matupu yatumike kupeleka wawakilishi wao kwa gharama zozote ingawa ndege mbadala zipo. Yanga wanalipa nauli sh. 330,000 na kucheza kama Pele!
Usikute walikuwa wanaogopa ndege inaweza kukamatwa kufidia madeni ya wakandarasi wanaotudai[emoji13][emoji13][emoji13]Soma post vizuri, Simba wamefanya official communication na ATCL muda mrefu tu na hakuna jibu, in short , kile ni kama kilinge, genge la kufurahisha watawala na si wafanya biashra wanaotafuta Faida.
Namungo nao Watatumia KQ na Ethiopia airways , kwa ujinga wa Ma-afisa wa ATCL huku ndege zetu zikiwa zimepaki uwanjani na kuingiza hasara za mabilioni kila siku.
hivi yule mkurugenzi wao alikuwa na kesi hajafungwa tu?Watendaji wa Atcl hawana ubunifu kabisa, walitia hasara shirika punde linaenda kufa cha mende
ha ha ha ha , huenda ila MATAGA walitetea sana SIMBA watakwenda kwa hasara na kwamba ATCL walikuwa sawa but leo wameficha nyeti zao maana ATCL wamechukua ushauri wangu.Usikute walikuwa wanaogopa ndege inaweza kukamatwa kufidia madeni ya wakandarasi wanaotudai[emoji13][emoji13][emoji13]
Kwani biashara mpaka ufuatwe.Siku hizi bidhaa zinatafuta watu.juzi tu wafanyabiashara wa Afrika kusini tena wazungu wametoka dar mpaka kigoma kutbeza bidhaa maofisini tena kwa mkopo wa miezi mitatu ati ATCL wao wanasubiri wafuatwe.Inasikitisha.Ukisikia timu inaenda kucheza nje changamkia fursa na ikamate si kusubiria.Ishu sio bandiko, ukweli wa hayo ayasemayo. Zitolewe details, nani alifuatwa au kupigiwa simu, sio porojo tu halafu mtu uamini. Tujiridhishe, hivyo aturidhishe Kama kweli
Hana akili timamu huyo zwazwaHujasoma bandiko