Bombardier na Boeing zimepaki Wakati Simba SC Wakitumia Kenya Airways na Ethiopia Airways kwenda Nigeria

Bombardier na Boeing zimepaki Wakati Simba SC Wakitumia Kenya Airways na Ethiopia Airways kwenda Nigeria

Siasa na mpira haviendani ndugu yangu. Ukisema uongo basi jitahidi kuwa na uelewa wa uongo wako. Umeanza na mkoa uliotengwa kimaendeleo kisha ukaingiza uongo mwingine maana huna uelewa wa hilo unalosema.

Swala la Simba kutumia Kenya Airways linahusu uwezo wao kifedha na siyo issue ya ATCL. Unapotumia ndege za safari za kawaida za abiria kama abiria wa kawaida unalipa kidogo sana na huenda unapata discount ya group fare. Ukikodi ndege unatakiwa ulipie gharama zote za uendeshaji na faida juu.

Nina hakika Simba waliona kuwa mahesabu ya kutumia ndege ya safari za kawaida inawapa unafuu wa gharama ukilinganisha na kukodi ndege nzima.

Issue ingekuwa na mashiko kama Simba wangeondoka na ndege ya kukodi ya Kenya Airways na kuacha ATCL. Kutengeneza kachumbari ya habari ya uongo kwa manujfaa yako ya kisiasa sio tyija na haina faioda kwako na Simba unawasingizia huku ukiinanga ATCL kwa uongo wako ili kukidhi issue yako ambayo sio ya mpira wala ya kibiashara bali siasa.
 
Mkuu tambua atcl sio shirika la ndege la Mwamedi, haliwezi endeshwa Kama mnavyoendeshwa nyinyi
Unataka kuelezea nini?
Kwamba ukienda kukodi unakataliwa hata kama zimepaki chini, umesikia simba walienda kuomba lift au nimesema walienda kukodi?
acha uduwanzi na mahaba ya chama, tujenge nchi , usijione wewe ni mwananchi namba moja kwakuwa umeweka ki-skafu cha CCM kwenye gari yako hapo mbele, wewe ni wa kawaida kama tulivyo wote na tupo sawa mbele ya Mola.
 
Habari yako imejaa neno la Inasemekana,hapo unajidhihirisha kua umechukua maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa na kuyaleta hapa,habari huandikwa kwa fact na sio kwa "Inasemekana"
Inasemekana na nani? nani aliyesema hayo maneno yanayosemekana? aliyasemea wapi na lini?
 
Siasa na mpira haviendani ndugu yangu. Ukisema uongo basi jitahidi kuwa na uelewa wa uongo wako. Umeanza na mkoa uliotengwa kimaendeleo kisha ukaingiza uongo mwingine maana huna uelewa wa hilo unalosema. Swala la Simba kutumia Kenya Airways linahusu uwezo wao kifedha na siyo issue ya ATCL. Unapotumia ndege za safari za kawaida za abiria kama abiria wa kawaida unalipa kidogo sana na huenda unapata discount ya group fare. Ukikodi ndege unatakiwa ulipie gharama zote za uendeshaji na faida juu. Nina hakika Simba waliona kuwa mahesabu ya kutumia ndege ya safari za kawaida inawapa unafuu wa gharama ukilinganisha na kukodi ndege nzima. Issue ingekuwa na mashiko kama Simba wangeondoka na ndege ya kukodi ya Kenya Airways na kuacha ATCL. Kutengeneza kachumbari ya habari ya uongo kwa manujfaa yako ya kisiasa sio tyija na haina faioda kwako na Simba unawasingizia huku ukiinanga ATCL kwa uongo wako ili kukidhi issue yako ambayo sio ya mpira wala ya kibiashara bali siasa.
PR wa ATCL ndio unajibu ki-sekondari namna hii?

NDEGE iliyokwenda Madagaska kuchukua juisi ya Fruto tukaambiwa ni dawa ya Korona inakuja kujaribiwa nani alilipa?
Simba inawakilisha nchi na siyo msimbazi pekee, naona level yako ya uelewa wa mambo ya kimataifa bado ipo low sana.
Kutumia ATCL kwenda nigeria ingekuwa ni mojawapo ya advertisement kubwa, sijui tunakwama wapi, lishe? ujinga mahaba ya vyama!!!!
 
Habari yako imejaa neno la Inasemekana,hapo unajidhihirisha kua umechukua maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa na kuyaleta hapa,habari huandikwa kwa fact na sio kwa "Inasemekana"
Inasemekana na nani? nani aliyesema hayo maneno yanayosemekana? aliyasemea wapi na lini?
Inasemekana leo mvua kubwa itanyesha Dar, sina ushahidi, ila inasemekana
 
Lakini kweli kama Simba walikataliwa kukodi na ATCL kwanini wasingeenda kukodi Kenya Airways?
 
Inasemekana leo mvua kubwa itanyesha Dar, sina ushahidi, ila inasemekana
Kwahiyo umeleta habari ambayo haina reliable source?

"Unaposema Inasemekana mvua kubwa itanyesha Dar" Hapo aliyesema ni nani? Kumbuka mambo ya mvua kuna wataalamu wa mateorology ambao hutumia vifaa ili kudeal with the study of atmosphere and it's phenomena,hebu kaa chini kisha punguza mapepe ili usiendelee kua kituko kwenye hii thd.
 
PR wa ATCL ndio unajibu ki-sekondari namna hii?

NDEGE iliyokwenda Madagaska kuchukua juisi ya Fruto tukaambiwa ni dawa ya Korona inakuja kujaribiwa nani alilipa?
Simba inawakilisha nchi na siyo msimbazi pekee, naona level yako ya uelewa wa mambo ya kimataifa bado ipo low sana.
Kutumia ATCL kwenda nigeria ingekuwa ni mojawapo ya advertisement kubwa, sijui tunakwama wapi, lishe? ujinga mahaba ya vyama!!!!
Dogo uelewa wako zero. Ndege iliyokwenda Madascar ni ndege ya Rais Gulfstream sasa sijui inahusiana nini na ATCL? Tuletee taarifa rasmi ya Simba kuwa wameamua kusafiri na KQ baada ya kukataliwa kukodi ndege ya ATCL. Ajabu wamesafiri kwa kutumia scheduled flight huku wakitaka charter flight kutoka ATCL. Acha siasa maana issue ni uwezo wa kulipa, na mimi siko ATCL ila naangalia kwa macho mawili.
 
Hivi yule mtoto wa Prof. Tungaraza bado yupo marketing pale!?
Yule hana uwezo kabisa kabisa.
Wamewekana pale ....kazi kuzurula workshops na umalaya tu ...hata ndoa imemshinda ...pale amejitegesha anajiuza ki style hakuna jipya pale wote tuna wajua uwezo wao
 
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.

Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga mpaka Ethiopia, {kuna mapigano kati ya Serikali ya Abey na wanyonge wa Tigrey] na hapo Ethiopia simba watalala na kuondoke kwenda Aabuja Nigeria siku inayofuata kwa ndege ya ETHIOPIA AIRLINE.

Wakati Tanzania tukijigamba kuwa na ndege inayotoka DAr mpaka Mumbai bila kutua hata kituo kimoja imeshindwaje kuwakodishia simba ndege hiyo waende Nigeria moja kwa moja kupunguza gharama za kuzunguka nchi zaidi ya tatu?

Ukiangalia kwa umakini utagundua ATCL hawana Marketing Managers wala officers, ni waru flani walichomolewa kindugu wakapachikwa hapo lakii hawana strategy yeyote kabisa.

inasemekana Mo-Dewji [Mdosi] alikuwa akiwasilina nao lakini wakadengua na hivyo akaamua kuendelea na maisha yake.

C.EO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye pia inasemekana so far ndio "pisi kali kwa Tanzania" alijaribu kuomba ndege kutoka ATCL ikashindikana, siyo kwa msaada, hapana kwa kukodisha.

Nawapongeza wote mliojitahidi kutafuta ATCL na pia maafisa wa ATCL ofisi ku ya Ohio mnakula mshahara na kutembelea magari mazuri lakini hamna mnalofanya, shirika linahitaji overhaul, ninyi mpangiwe kazi nyingine, hata kwenda kufundisha VETA huko Katavi hazina walimu.

Mungu ibariki simba ishinde 2-0.


Nani alikwambia Babra ndio pisi kali kushinda wote Tanzania, unaweza kuwa na hoja ya msingi ila umechanganya na upuuzi.
 
Soma post vizuri, Simba wamefanya official communication na ATCL muda mrefu tu na hakuna jibu, in short , kile ni kama kilinge, genge la kufurahisha watawala na si wafanya biashra wanaotafuta Faida.

Namungo nao Watatumia KQ na Ethiopia airways , kwa ujinga wa Ma-afisa wa ATCL huku ndege zetu zikiwa zimepaki uwanjani na kuingiza hasara za mabilioni kila siku.
Zitakuwa ni mbovu sn
 
Na jamaa anasema tutaongeza zingne kama tano hivi...
 
Mnafikiri ndege zinatua tu popote pale zinapotaka?
 
Back
Top Bottom