HOJA Bomoabomoa ya majengo Nzega na Tabora mjini haiana afya kwa Serikali. Waziri mwenye dhamana jiandae kutumbuliwa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Tajiri wa kinyankole

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,977
Reaction score
4,912
Tumeona waziri mwenye dhamana masanja kadogosa kaagiza TANROAD kubomoa majengo ambayo yamepita kwenye reserve ya barabara hasa maeneo ya mjini ambapo watu wanajitafutia kipato.

Ni kweli watu walikosea kujenga katika maeneo hayo kwa sasa umewapa siku saba wabomoe wenyewe na wasipofanya hivo mamlaka zikibomoa wanalipa faini hii dhana yako ya utendaji unaona iko sawa?
umeamuru watu wabomoe majengo yao ambayo yanabiashara zao ndani ya siku saba je kuna mradi unapita kwa mda huoa au nikubomoa na kuacha magofu hadi pale utakapo pata pesa za upanuzi wa barabara..

Hakuna kitu kibaya kubomoa majengo ya watu huku serikali haijajiandaa kupitishabmradi wowote katika maeneo hayo hususani maeneo ya mjini hii ni hatari kuharibu biashara za watu na kuwapa msongo wa mawazo.

Ushauri wangu kwa waziri mwenye dhamana kama anajuwa hana bajeti za upanuzi wa barabara maeneo ya mjini asiathiri biashara za watu zaidi ya hapo ajiandae kutumbuliwa.

pamoja na yote leo ni siku ya kumbukizi ya ndugu zetu waliouawa tarehe 29 october 2025 mungu awape pumziko la milele amina.
 
Kadogosa na yeye ameanza kwenda kimwendokasi!
 
Hii ndio CCM ninayo ijua mm. Chini ya chura aka kizimkazi. Watanganyika kila sehemu ni kilio tu
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…