Bomu Jipya GBU-72 lililongusha majengo ya Hezbollah ni Jipya, lingine pia lipo njiani kufumua mahandaki yenye hazina ya Silaha. maeneo hayo hayo

Bomu Jipya GBU-72 lililongusha majengo ya Hezbollah ni Jipya, lingine pia lipo njiani kufumua mahandaki yenye hazina ya Silaha. maeneo hayo hayo

Hata liwe lina uzito wa ton 2000 ndio nini. Mimi naona hawana jipya 😄
Jipya wanalo🤣🤣🤣 Netanyauuu, alisafiri na Mobile Comanding Center. Kaboom
 

Attachments

  • IMG_8071.jpeg
    IMG_8071.jpeg
    154.1 KB · Views: 1
  • IMG_8041.jpeg
    IMG_8041.jpeg
    134 KB · Views: 1
  • IMG_8020.jpeg
    IMG_8020.jpeg
    39.1 KB · Views: 1
  • IMG_8016.jpeg
    IMG_8016.jpeg
    63.4 KB · Views: 1

New ‘bunker buster’ bombs used in Beirut attack​

Bomu limeetoa moshi wa rangi ya Chocolate - This is why Iran hataki War na Israel anawatumui Arabs wajinga wake.

Bomu hilo halijawahi tumika kabla kilo 2,200 lilianza kuundwa Mwaka 2021

Elijah Magnier, a military analyst, says the ordnance used by Israel in its latest attack on Beirut is a “very new type of bomb” – the GBU-72.
The weapon is “an advanced 5,000-pound [2,200kg] bunker buster that was created in 2021”, Magnier told Al Jazeera.

The bomb has not been used in the past for the “same objective”, he said, suggesting Israel wanted to “confirm the kill and wanted to make sure nobody is going to be alive”.

It was dropped with a fraction of delay, which allowed the bomb to reach the bunker under the ground and bring down entire structures, Maginer explained.

“We’re talking about four to six buildings, that is several bombs of this calibre used against one target. It means it was a very high, valuable target – as the Israelis believe it was.”
Majanga
 
Hamas ndiyo wapiganaji Bora sio hawa mafala wa Hezbollah yaani ndani ya wiki washapotea, waende kujifunza Kwa SINWAR huyu jamaa yupo Hadi Leo Toka vita ya Gaza imeanza anadunda Tu
Hamas tuwape Maua Yao sio hawa mafala kutoka Lebanon
Bahati yake anazungukwa na mateka
 
Lebanon wanyoshe tu mikono juu kabla hawajanyoshwa (nashauri)
Wanakufa kijinga sana
 
Tatizo la magaidi wakikupiga ukakaa kimya wanajua umewaogopa.. ukiwarudishia wanaanza kulia lia...

Tuliwaambieni hamchelewi kuandamana
 
Kuna yale majinga mengine ya Houthi nayo! Naona wamesitisha kurusharusha vibaruti vyao kuelekea nchi takatifu!
Hao jamaa wapo bank wametunzwa Kwanza tunasubiri Hezbollah wakimalizwa wanaenda kumalizana na houthi, hawa ni wepesi Sana
 
Kuna msiba uku
Webabu
Kosugi
Ritz
FaizaFoxy
Sir John Roberts
Adiosamigo
Kumbe Hamas afadhali walijitutumua hawa hizbolaah ndo mdebwedo namna hii watu wame pita na uongoz wote ndani ya muda mfupi hi khaaa
Nani anaye kuambia nina msiba kijana, kufa kila mtu atakufa ni sababu flani tu zimepangwa na Mungu utakufa vipi.

Us kule Lebanon alikuwa anawatumia wakristo na masunni na badhi ya mashia dhaifu ndani ya Hezbullah, hata ndege ni za US na kuna nchi ya kiarabu inajulikana wazi kabisa ndio zinapiga Lebanon sio Israel. Wakisha piga Israel anajisifia yeye kapiga. Hatukatai Israel na yeye anapiga pia lakini zaidi ni US afu anajidai kama hajui lolote au Israel hakumshauri 😄
 
Hawa mbwa wameshashindikana. Iran na maswahiba zake wawe wapole, watafute tu namna ya kuishi na hawa mbwa kwa amani.
Ni ngumu mpaka kile kitabu cha shetani ala na mtume wake pedophile,kiondoshwe duniani au kurasa za uadui dhidi ya wayahudi na wakristo ziondolewe.
 
Bunker busters USA ametumia sana Afghanistan hasa maeneo ya Tora Bora.

Idea ya bunker buster ni kudrill na kwenda kulipuka ukifika kwenye root ya bunker, yapo yenye uwezo tofauti tofauti kwenye kudrill inategemea na target yako.

Uwezo wa kiuchumi na technolojia unakufanya isiwe na limit kwenye kutengeneza hivi vitu, haihitaji ugenius bali ni suala la investment tu ya muda mrefu kwa watu na technolojia.

Israeli analindwa na uwezo wa USA, UK na allies wengine ambao kwenye game wako kitambo na wamefanya uwekezaji wa miaka mingi kwenye Technolojia, hili linaibeba Israeli maana hawana mipaka naye kwenye kumpa hizi technolojia.
Ndege zilizotumika kushusha Bunker buster Beirut ni F35 ambayo ni USA huyo.

Tunapozungumzia balance of power ni kumuacha kila mtu afanye akitakacho na kumiliki akitakacho na sio kuwekea wengine vikwazo na kuruhusu wengine wawe na technolojia + allies wanaowataka.

Russia na Iran wanaishi na vikwazo miaka mingi, hatuwezi kuwaita dhaifu kama wako na vikwazo naa bado wanaweza kuresist.
 
Back
Top Bottom