Hili bomu mbona tokea wakat wa kikwete tunaambiwa litaripuka? Suala la ajira ni gumu sio tanzania tu bali dunia nzima hata kwenye kampeni za urais marekani lilitajwa sana tu
Utasubiri mpaka Yesu arudi kama unategemea ajira ya serikaliHivi kuna serikali duniani ambayo inafanya teuzi mwaka mzima bila kutoa Ajira?.....
Nasikitika kwamba kwa kila nililokuwa naunga mkono ameniangusha!Ok mkuu, wewe labda Magufuli unamuunga mkono kwa lipi?
Huyu teknikali wala hata simuelewagi? Juzi si alikuwa anampongeza huyo anayemponda leo?
Sisi hayo tumeyapigia kelele kwa mwaka sasa ila wewe ukatunanga humu kuwa "Tunapinga kila kitu" labda kina BAK Chakaza na Salary Slip wanisaidie kukuelewa maana peke yangu nimeshindwa!
Mkuu nakupongeza sana kwakuwa umemfahamu Magufuli. Hivyo ndivyo alivyo na usitegemee abadilike. Niamini mkuu maana Magufuli nimemfahamu hapo kabla!Nasikitika kwamba kwa kila nililokuwa naunga mkono ameniangusha!
nilimchagua, nikiamini he is strong na anaweza kusimamia kweli! Hii sifa bado anayo lakini....
Pamoja na kusimamia kweli amekosa kuwa sensitive sehemu nyingi ambapo nilimtarajia awe hivyo! unapokuwa rigid kupita kiasi si nzuri nami sikupenda raisi wa hivyo!
I needed strong man, lkn awe pia sensitive at times, hili la kukosa ajira, kukosa mikopo, tetemeko Bukoba, hakuya-handle kwa kiwango stahiki!
Haya ni majanga ktk taifa, pamoja na kuwa strong bado unapaswa kuwa na huruma!
Raisi ni mtu wa juu sana, hata Mungu anataka tumuheshimu!
Tukikwama ktk kufikia malengo basi tuwe wote, tukikumbana na ugumu pia tuwe pamoja!
Tunapokuwa tunawasubirisha wananchi jambo basi tufanye proper communications na si kila sehemu kuwe ni amri!
Tanzania ya Kambarage watu walijitolea Zaidi, hasa baada ya speeches za mwalimu, lkn hakuna asiyejua kuwa kambarage alikuwa mkali mno! he was strong and very sensitive!
Kama JPM atafanya assessment na kukubali kwanza kuwa yeye ni mwanasiasa, pili huruma anatakiwa aitende na asiiseme tu mdomoni, najua atakuwa vile nilivyomtarajia! Ingawa dalili hizo hazipo very clear kwa sasa!
Safi sanaUtasubiri mpaka Yesu arudi kama unategemea ajira ya serikali
Mkuu mapinduzi yote dunian huwa yanaletwa na vijana hasa vijana wasomi, Mapenduzi ya kimfumo. Ila itachukuwa kama miaka 500 tanzania kuja kubadilika, maana vijana wengi wasomi na wasio kuwa na kazi ni rahisi sana kuwa tumikia wanasiasa.
Kwa hiyo anamaanisha akina Prof Yunus Mgaya na wengine ni wanawake kwa kupewa kaz na serikalIla inampa mwanamke. Mbona nyie mmepewa?
Ni afadhali technically kuliko lizabonimimi mwenzenu huyu "technically" nishamuulizaga amesoma shule hadi kiwango gani?
the guy is just all over the kitchen. he just writes a load of trash hata anachosimamia wengine tumeshindwa kukijua..
Anaweza kubadilika!Mkuu nakupongeza sana kwakuwa umemfahamu Magufuli. Hivyo ndivyo alivyo na usitegemee abadilike. Niamini mkuu maana Magufuli nimemfahamu hapo kabla!
Unatarajia wangefanyaje?
Wanasiasa wanatuangusha sana!
sisi wananchi na wao wote tunalia kilio kimoja!
sisi hatuna ajira na kina mbowe hawana ajira!
kabla ya kibanzi cha vijana waliohitimu shule jana/juzi, Tazama UKAWA wameambiwa wasifanye kazi walizoajiriwa kwazo na wote wameufyata! hata ikifika 2020 bado nitasita kumchagua Lowasa na Mbowe maana hawawezi hata kusimamia vilivyo haki zao leo ndani ya nchi yao! hawa ukiwapa nchi ili wakamshurutishe Trump na watu aina hiyo nje ya nchi/Africa wataweza kweli!
Lissu na Lema wanaonesha ukaidi, lkn bado haitoshi ku-beep mamlaka!
wanasiasa wangeenda ktk mahakama kupeleka kesi yao ya kikatiba ningewaamini, at least wangeonesha kuwa wanaweza angalau kutumia platforms sahihi kufikia suluhisho la migogoro ya kiutawala! kwa sasa hakuna matumaini ya kuwa upinzani unauwezo wa kushika dola! (sorry nimeenda nje ya mada asilia)[/QU. Umenena sana wewe
Mkuu nilipongeza kuondolewa kwa huyo mkurugenzi na nikashauri Muhongo na mkurugenzi wa Ewura waondolewe woteSasa wewe juzi si ulimpongeza kwa teuzi anazofanya? Umesahau mkuu? Sisi tukakuambia kuwa ondoa ondoa yake imejaa kasoro na makosa ya uonevu ukatunanga weee.. Kama Mwanakijiji ameweza kujirudi sitashangaa kwenu!!
Mko vizuri kulinganisha mabaya lkn mazuri hamna...Siku nyingine utasema ushoga ukubaliwe Tanzania kwakua Marekani ushoga ni halaliHili bomu mbona tokea wakat wa kikwete tunaambiwa litaripuka? Suala la ajira ni gumu sio tanzania tu bali dunia nzima hata kwenye kampeni za urais marekani lilitajwa sana tu
Ndio lile Gazeti la habari Leo lilolipoti kuwa serikali yamwaga Ajira au.Jamani 2016 ajira zilitoka sana, Marc, Madc, Wakurugenzi na Madas.
Ndio lile Gazeti la habari Leo lilolipoti kuwa serikali yamwaga Ajira au.
Kuwa muelewa yeye kasema atapingana naye kwenye uchumi na kubana demokrasia. Hivyo kwa mambo anayokubaliana nayo hasiti kumsifia.Huyu teknikali wala hata simuelewagi? Juzi si alikuwa anampongeza huyo anayemponda leo?
Sisi hayo tumeyapigia kelele kwa mwaka sasa ila wewe ukatunanga humu kuwa "Tunapinga kila kitu" labda kina BAK Chakaza na Salary Slip wanisaidie kukuelewa maana peke yangu nimeshindwa!
mahaba au kitu ganiHili bomu mbona tokea wakat wa kikwete tunaambiwa litaripuka? Suala la ajira ni gumu sio tanzania tu bali dunia nzima hata kwenye kampeni za urais marekani lilitajwa sana tu