Bomu lalipuka Iran na kuua 73 na kujeruhi 180 kwenye maadhimisho kifo cha Qasem Soleimani

Bomu lalipuka Iran na kuua 73 na kujeruhi 180 kwenye maadhimisho kifo cha Qasem Soleimani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Poleni wahanga ila Iran kubwa la magaidi ya dini naona anafanyiwa ugaidi kwake ndani, anaafutwa sana huyu.....
Polni sana lakini mnachokihisi ndivyo huwa kwa wale huwa mnawafanyia ugaidi.....

At least 73 killed and 180 wounded in terror attack in Kerman, Iran.2 bombs exploded as crowds were gathering near the grave of General Qassem Suleimani on the 4th anniversary of the U.S. drone strike that killed him.


View: https://twitter.com/i/status/1742538628637565094
 
Hatari sana, kila kukicha mataifa yanazidi kugombana.
 
Tulejeeni vitabuni, hasa hasa kwa nchi yetu hii ambayo wengi huiita nchi ya mazombi, lakini kwa upande mwingine wenye kukaribiana na ukweli

Ni nchi ya makimbilio na ambayo Mungu akaa ndani yake!

Ni vigumu sana kuchambua aina ya watu wa Tanzania na jinsi akili zao zilivyo na ukapata jibu la moja kwa moja kama si kuishia kusema, Mungu awajua Watanzania kuliko wao wanavyojijua

Iko nama dunia inaelekea kwenye tamatiko lake
 
Back
Top Bottom