Bomu lalipuka Iran na kuua 73 na kujeruhi 180 kwenye maadhimisho kifo cha Qasem Soleimani

Bomu lalipuka Iran na kuua 73 na kujeruhi 180 kwenye maadhimisho kifo cha Qasem Soleimani

Bakwata na Sunni wanauana Tu yaani hawa jamaa tukiwaambia hii Imani Yao ni mzigo Kwa dunia wanakataa
 
Poleni wahanga ila Iran kubwa la magaidi ya dini naona anafanyiwa ugaidi kwake ndani, anaafutwa sana huyu.....
Polni sana lakini mnachokihisi ndivyo huwa kwa wale huwa mnawafanyia ugaidi.....

At least 73 killed and 180 wounded in terror attack in Kerman, Iran.2 bombs exploded as crowds were gathering near the grave of General Qassem Suleimani on the 4th anniversary of the U.S. drone strike that killed him.


View: https://twitter.com/i/status/1742538628637565094

FaizaFoxy , ChoiceVariable Ritz njooooni wenzangu mbona mnaniacha peke yangu. Hawa wehu wanapiga hadi Iran ndani..... Imeniuma sana.. inasikitisha sana.... Nimeumizwa. Ila tusikate tamaa tuendelee kuwashambulia mayahudi humu JF. Watakufa tu kwa mashambulizi haya. Yemeni na Iraq wanasema wanajipanga kuvamia israel kuteketeza nchi yote....
 
Advantage ya Iran ni Geography yao, ni nchi ya milima na pili ni mafuta.

Iran yeye dawa yake ni vita ya wenyewe au Utawala wa Ayatollahs kuanguka
Licha Geografia pia kuna minority ethnic groups kama kurds na pia sunni wanamuumiza sana kichwa Ayatollah
 
Back
Top Bottom