PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Wamesemwa mitume na manabii sembue magufuli??
Kama vipi nenda chato ukashitaki
Kama vipi nenda chato ukashitaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimponya nani aliyekuwa mgonjwa, unaponywa watu kwa kupora chaguzi za nchi? Kama aliumiza wachache basi subirini hao wachache aliowaumiza watoe mrejesho. Na hao wengi aliowaponya wajitokeze wamtetee.JPM aliumiza wachache Ili kuponywa mamilion ya watu.
Kanda ya ziwa ya kwioK
Tukutane 2025 mtaifahamu kanda ya ziwa
Kama unaamini hivyo basi waache wale wachache walioumizwa watoe nyongo. Ukimpiga mtu kofi usimkataze kulia.JPM aliumiza wachache Ili kuponywa mamilion ya watu.
Kanda ya Ziwa ilikuwa ngome kuu ya Chadema, hata pale Chato kwa Magufuli ilikuwa kambi ya Chadema.Magufuli hakuona ndani kabisa enzi hizo.K
Tukutane 2025 mtaifahamu kanda ya ziwa
mjadala unafungwaje wakati wako watu wanaomkebehi marehemu kiasi kwamba unasikia hasira ya kujitoa mhanga kama yule aliyeua wanafunzi 19 america.Yani mtu anasema ati MWENYEZI MUNGU AMEAMUA UGOMVI ,MARA YULE JAMAA ALIKUWA MRUNDI ,MARA ALIKUWA MHUTU ,MARA ALIUA WATU WENGI ( ushahidi hawana ) .let us be honest ,kama watanzania wangepewa hata muda wa kumuombea wakati anaumwa haya yasingetokea.mtu mwenye dhamana kubwa katika nchi hii anapodhihaki marehemu tujaiuliza kulikoni na kwa nini haya.Hayati JPM alishalala lakini kuna watu wanamuamsha kila siku kwa dhihaka zao.na nikwambia tu ukweli ni kwamba iko siku wataropoka makubwa mpaka watu wataachwa midomo wazi.
Hawawezi kuwa na uhuru wa kusema hata kama hakuondoka naturallyMbaya zaidi ni kuwepo watu wanaodai kifo cha JPM ni cha utata, haya mambo yakilelewa lelewa ni hatari, ,Tunaomba kauli ya familia ya JPM iruhusiwe kusema au kutoa kauli ya kilichompata JPM?
Hushangai JPM alikuwa na mke na Watoto saba Hakuna alipewa hi kusikilizwa kuhusu kufa cha mume au baba yao?
Mke wa Magufuli alikuwa na kazi gani kama mke kama hawezi kusema yaliyomsibu mume wake hadi akafa ghafla.?
Subiri kanda ya ziwa Waambiwe ukweli kuhusu kifo cha JPM utaniambia upepo wa kisiasa utakuwaje.Kanda ya Ziwa ilikuwa ngome kuu ya Chadema, hata pale Chato kwa Magufuli ilikuwa kambi ya Chadema.Magufuli hakuona ndani kabisa enzi hizo.
Lakini usidhani Chadema imekwenda na maji imefufuka upya baada ya kukumbwa na mkono wa chuma wa serikali ya Mjomba Magu.Sasa inaona matumaini ya kufanya siasa katika kanda hiyo japo ni mapema mno.
Ni wazi 2025 vyama vya CCM na Chadema vitachuana vikali kuliko wakati wowote kwenye historia ya siasa za vyama vingi.
Unaposema kanda ya ziwa itatoa onyo kwa lipi?
Kwani wafuasi wa vyama vyote Chadema na CCM ndio washindani wakuu kanda ya ziwa.Na vyama vyote vinakubarika sana kuliko vyama vingine.Kanda ya ziwa hakuna chama cha kikanda.kuna vyama vya kitaifa.
Kwanini? Vinginevyo waingie Jf waweke mambo sawa.Hawawezi kuwa na uhuru wa kusema hata kama hakuondoka naturally
Endelea kujifariji.Sio wataropoka, omba wasiendelee kuongea ukweli. Na hao watu watafanya nini? Kwani yeye alipokuwa madarakani aliruhusu watu kufanya nini zaidi ya kumsujudia, au kumuogopa kwa shuruti?
Sahihi! MATAGA wanadai kwanini hakusemwa alipokuwa hai huku wakijua fika kila aloyejaribu kumkosoa aidha alikula risasi au alipotezwa mazima ama aliozea mahabusu.Jpm anasemwa kwasababu ya maisha aliyojiamulia eye mwenyewe akiwa hai. Unakumbuka kile kicheko chake cha hiiiiiiiiiiiiiiii wakati akiumiza wenzake ? Ule ulikuwa ni wakati wake wa kutamba ! Unajua familia za aliowaumiza zinajusikiaje huu sasa ni muda wa wengine kusema hiiiiiiiiiiiiiiii kanuni ni moja tu karma kila kipimo unachopimia wengine nawewe utapimiwa.
Ukweli upi,Magufuli hayupo tena,huo ukweli kama unaujua si useme tu?Subiri kanda ya ziwa Waambiwe ukweli kuhusu kifo cha JPM utaniambia upepo wa kisiasa utakuwaje.
Ikiruhusiwa hii mkuu, halitaisha tu kwa amani,!
Waliofanya kama ni kweli, Mungu atakutana nao tuu!!
Serikali ilisemee tuu ili kusiwepo tena mjadara wowote unaohusu JPM
Aliumiza familia ya nani? Mbona mbaleta hadithi za uongo.Jpm anasemwa kwasababu ya maisha aliyojiamulia eye mwenyewe akiwa hai. Unakumbuka kile kicheko chake cha hiiiiiiiiiiiiiiii wakati akiumiza wenzake ? Ule ulikuwa ni wakati wake wa kutamba ! Unajua familia za aliowaumiza zinajusikiaje huu sasa ni muda wa wengine kusema hiiiiiiiiiiiiiiii kanuni ni moja tu karma kila kipimo unachopimia wengine nawewe utapimiwa.
Siasa ya Tz ni mbaya sana mkuuUtasikia JPM aliumiza sana watu, ukiuliza alimuumiza nani hawana jibu. Zaidi utasikia alimuua ben saanane...ukiwaambia wakupe ushahidi hawana.
Ni kundi la wapigaji wanachafua image ya late JPM, ila hawatoweza kamwe.
Unaongelea Chadema ipi?.... Hii hii iliyoitwa Ikulu juzi kunywa kahawa? Au???Kanda ya Ziwa ilikuwa ngome kuu ya Chadema, hata pale Chato kwa Magufuli ilikuwa kambi ya Chadema.Magufuli hakuona ndani kabisa enzi hizo.
Lakini usidhani Chadema imekwenda na maji imefufuka upya baada ya kukumbwa na mkono wa chuma wa serikali ya Mjomba Magu.Sasa inaona matumaini ya kufanya siasa katika kanda hiyo japo ni mapema mno.
Ni wazi 2025 vyama vya CCM na Chadema vitachuana vikali kuliko wakati wowote kwenye historia ya siasa za vyama vingi.
Unaposema kanda ya ziwa itatoa onyo kwa lipi?
Kwani wafuasi wa vyama vyote Chadema na CCM ndio washindani wakuu kanda ya ziwa.Na vyama vyote vinakubarika sana kuliko vyama vingine.Kanda ya ziwa hakuna chama cha kikanda.kuna vyama vya kitaifa.
Na kanda ya kasikazini waambiwe kuhusu ukweli wa kupotea Ben Saanane.Ukweli upi,Magufuli hayupo tena,huo ukweli kama unaujua si useme tu?