Bomu liko katika hatua za mwisho lilipuke, Ila Serikali inao uwezo mkubwa wa kulitegua ili lisilipuke

K

Tukutane 2025 mtaifahamu kanda ya ziwa
Kanda ya Ziwa ilikuwa ngome kuu ya Chadema, hata pale Chato kwa Magufuli ilikuwa kambi ya Chadema.Magufuli hakuona ndani kabisa enzi hizo.
Lakini usidhani Chadema imekwenda na maji imefufuka upya baada ya kukumbwa na mkono wa chuma wa serikali ya Mjomba Magu.Sasa inaona matumaini ya kufanya siasa katika kanda hiyo japo ni mapema mno.
Ni wazi 2025 vyama vya CCM na Chadema vitachuana vikali kuliko wakati wowote kwenye historia ya siasa za vyama vingi.
Unaposema kanda ya ziwa itatoa onyo kwa lipi?
Kwani wafuasi wa vyama vyote Chadema na CCM ndio washindani wakuu kanda ya ziwa.Na vyama vyote vinakubarika sana kuliko vyama vingine.Kanda ya ziwa hakuna chama cha kikanda.kuna vyama vya kitaifa.
 

Sio wataropoka, omba wasiendelee kuongea ukweli. Na hao watu watafanya nini? Kwani yeye alipokuwa madarakani aliruhusu watu kufanya nini zaidi ya kumsujudia, au kumuogopa kwa shuruti?
 
Hawawezi kuwa na uhuru wa kusema hata kama hakuondoka naturally
 
Subiri kanda ya ziwa Waambiwe ukweli kuhusu kifo cha JPM utaniambia upepo wa kisiasa utakuwaje.
 
Sio wataropoka, omba wasiendelee kuongea ukweli. Na hao watu watafanya nini? Kwani yeye alipokuwa madarakani aliruhusu watu kufanya nini zaidi ya kumsujudia, au kumuogopa kwa shuruti?
Endelea kujifariji.
 
Sahihi! MATAGA wanadai kwanini hakusemwa alipokuwa hai huku wakijua fika kila aloyejaribu kumkosoa aidha alikula risasi au alipotezwa mazima ama aliozea mahabusu.

Mimi nasema hivi huyu mtu wacha asemwe, watu waliteseka sana, usukuma ukatawala kwenye ofisi za umma, teuzi Serikalini ikawa ya Kanda moja tu. Mambo ya hovyo sana!
 
Ikiruhusiwa hii mkuu, halitaisha tu kwa amani,!

Waliofanya kama ni kweli, Mungu atakutana nao tuu!!


Serikali ilisemee tuu ili kusiwepo tena mjadara wowote unaohusu JPM

Serikali haiwezi kufunga mjadala juu ya JPM Kwani kwa kufanya hivyo wataonekana Kuwa kuna kitu wanaficha!! Waache watu waseme humo humo ukweli utadhihirika.
 
Aliumiza familia ya nani? Mbona mbaleta hadithi za uongo.
 
Utasikia JPM aliumiza sana watu, ukiuliza alimuumiza nani hawana jibu. Zaidi utasikia alimuua ben saanane...ukiwaambia wakupe ushahidi hawana.

Ni kundi la wapigaji wanachafua image ya late JPM, ila hawatoweza kamwe.
 
Utasikia JPM aliumiza sana watu, ukiuliza alimuumiza nani hawana jibu. Zaidi utasikia alimuua ben saanane...ukiwaambia wakupe ushahidi hawana.

Ni kundi la wapigaji wanachafua image ya late JPM, ila hawatoweza kamwe.
Siasa ya Tz ni mbaya sana mkuu
 
Unaongelea Chadema ipi?.... Hii hii iliyoitwa Ikulu juzi kunywa kahawa? Au???

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…