Bomu liko katika hatua za mwisho lilipuke, Ila Serikali inao uwezo mkubwa wa kulitegua ili lisilipuke

Ulikuwa hujawahi ishi nao,tunaofanya nao Kazi na tuliosoma maeneo ya huko kwao tunawafahamu vizuri ni Wana chuki binafsi hatari..

Nyerere hakuwaga mjinga.
 
Kwanza kama kaoneolewa ndio vizuri, huwezi vumilia jitu kama lile linaharibu Nchi..

JFK aliondolewa vilevile
 
Mjadala hauwezi kufungwa kwa sababu wahusika lazima wahalalishe walichokifanya, lazima waonyeshe kuwa watanzania walio wengi wamefurahi!!! Sasa wanaishi kwa amani na uhuru!!!! Hadi mchana utakapokuwa usiku, au gwaride litakapo ambiwa nyumaaaz geukaaa, wanaocheka watalia, na wanaolia watacheka. Mungu ibariki TZ
 
Ikiruhusiwa hii mkuu, halitaisha tu kwa amani,!

Waliofanya kama ni kweli, Mungu atakutana nao tuu!!

Serikali ilisemee tu ili kusiwepo tena mjadara wowote unaohusu JPM
Serikali ipi ilisemee ? Serikali nzima iko upande wa kundi lisilompenda ma kumnenea mabaya JPM .kama serikali ingependa huu mjadala usingekuwepo. Mara ngapi kiongizi mkuu anatoa maneno ya ukakasi kuhusu JPM? Anaowaita vijana wake ndo kutwa wanamsimanga nae kimya. Kumaliza utata wairuhusu familia itueleze kilichompata JPM wetu.
Kama angeondoka na hawa chawa wakafunga madomo yao walau tungekuwa tunafarijika. Kifo utata + masimango ya mtu aliyewapenda watu wake unategemea hii serikali inapanda nini kwenye jamii. Watoke kwa wananchi wamsimange na kuomba kura tuwaone kama ni majemadari .
 
Ni kweli, matatizo yake yanafahamika kwa sababu yaliwagusa nyinyi wauza unga, mashoga, mafisadi, vyeti feki na wanufaika wa migogo wa wafanyakazi hewa!!

Asiwe tatizo kwa nini mkuu kama aliwapokonya ugali wenu?
Jumlisha kuwanyonya wafanyakazi, kuua masoko ya korosho,kukopa na kufilisi mifuko ya hifadhi ya jamii na kuleta kikokotoo chs 25%, kufilisi bureau de change, kupora fedha benki kwa wafanyabiashara wenye ukwasi mwingi n.k
 
At least anasemwa kwa kulitetea Taifa. He was a warrior. Hawa wanaweza kitunishiana misuri na mabeberu badala ya kuwalamba miguu huku wakinyonywa, majambazi ndo yanamchukia na pamoja na kujipimia kwa urefu wa kamba yananunung'unika bado kwa jabali kuwawekea pause kwenye ulaji wao wapuuzi.
 
Wanadhani AMANI iliyopo ktk Taifa letu ilijiotea tu kama mchichapori!!!!
 
Mungu alituondolea ile takataka
 
Mi corona tu ilimuondoa
 
Katika suala la mwendazake , hakuna wa kufunika kombe wanaharamu wapite.
Kuna mazuri alifanya mwendazake, lakini kuna mengi mengi maovu yaliyomsindikiza kaburini.

Na mengine bado hayajahadithiwa, watanzania watasituka sana.
 
Nasisi ndugu wa ben saanane unataka tunyamaze? Hebu tupishe mungu apewe sifa kwa kumuondoa replica ya nduli.
Atamuondoa tu, mbona ndio kiongozi wenu mkuu hapo ufipa. Tafuta hilo toleo, lina full story.
 
Ghafla ipi unayozungumzia? Mtu hakuonekana more than 3 weeks na kukawa na fununu kuwa ni mgonjwa halafu wewe unasema ghafla!!!!

Halafu unataka Mama Janeth azungumze kuhusu hicho kifo kwa protocol zipi? Aongelee wapi na amwambie nani? Rais aliyepo ndiye alitangaza akiwa VP what else do you want?
 
Ikiruhusiwa hii mkuu, halitaisha tu kwa amani,!

Waliofanya kama ni kweli, Mungu atakutana nao tuu!!

Serikali ilisemee tu ili kusiwepo tena mjadara wowote unaohusu JPM
SSH alishalisemea sikumbuki ilikuwa kwenye tukio gani, akasema kabisa wenye ushahidi wapeleke sheria ichukue mkondo wake, kama hawana ushahidi wakae kimya!!! Unataka aseme mara ngapi?
 
Roho ya ubaguzi itawagharimu nyie wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…