Bondia afariki baada ya kupigwa KO katika shindano la ndondi

Bondia afariki baada ya kupigwa KO katika shindano la ndondi

Ni ajali, maana mbona kina Mike Tyson walikuwa wanapiga sana ila hawajawahi kuua
Kuna bondia alipigwa na Tyson akafa japo hakufa ulingoni alikufa baadaye
Mohammed Ali alipata madhara makubwa
 
Naskia mzee Karume aliupiga marufuku huu mchezo kule visiwani ila saivi wanataka kuurudisha
 
Juzi pale kinesi kwenye Dar boxing Derby kuna dogo alikimbia ulingo baada ya round 2, ilikua afe 😂😂😂


Mwingine anaitwa Philimon aligeuzwa nyanya mbovu apo usoni
 
Mchezo wa ngumi ni rituals kama hamjui! Zamani kipindi cha Roman empire kulikuwepo stadiums ambapo wafungwa waliachiwa kwa kupigana anayemuua mwingine anatafutiwa bingwa wake hivyo hivyo kama boxing..ku a movie inaitwa Gladiators.
Sheria ya kuua inaruhusiwa kwenye Boxing au Daktari anapohudumia mteja akifa basi hastakiwi...it is a sacrifice
 
Back
Top Bottom