Bondia Anthony Joshua apata ajali Nigeria, wawili wafariki dunia

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Bondia maarufu wa Uingereza na Nigeria,Anthony Joshua amepata ajali ya barabarani katika eneo la Makun, jimbo la Ogun, nchini Nigeria.

Ajali hiyo imetokea katika barabara kuu ya Lagos-Ibadan, ambapo gari lake aina ya Lexus Jeep liligongana na gari lingine ambalo lilikuwa limesimama.

Joshua alipata majeraha madogo, lakini watu wawili waliokuwa kwenye gari hilo wamefariki.

j1.jpg
j2.jpg
j3.jpg
 
UKiokoka kwenye ajali ya aina hiyo ishukuru mizimu ya kwenu
 
Bondia maarufu wa Uingereza na Nigeria,Anthony Joshua amepata ajali ya barabarani katika eneo la Makun, jimbo la Ogun, nchini Nigeria.

Ajali hiyo imetokea katika barabara kuu ya Lagos-Ibadan, ambapo gari lake aina ya Lexus Jeep liligongana na gari lingine ambalo lilikuwa limesimama.

Joshua alipata majeraha madogo, lakini watu wawili waliokuwa kwenye gari hilo wamefariki.

View attachment 3522323View attachment 3522324View attachment 3522325

Mbona kama kavaa boxer tu...!
 
Inasemakana Wamekosa hata ambulance ya kumsfirisha akiwa amelala badala yake wamemsafirisha akiwa amekaa kitako kwenye gari ya security😁
 
Jamaa katoa kafara.
 
Inasemakana Wamekosa hata ambulance ya kumsfirisha akiwa amelala badala yake wamemsafirisha akiwa amekaa kitako kwenye gari ya security😁

Africa yote ni shithole.
 
Inasikitisha sana, videos za mmoja wa marehemu bado zipo kwa story yake social media akiwa airport Nigeria wamefika, wakiwa home wanacheza table tennis na Anthony, njiani jijini humo... R.I.P.
 
Kama umeshawai kufika naijeria ndio utafahamu maana ya uchawi.

Wanaijeria wenyewe wanatueleza kuhusu kwao kupitia sinema zao,maisha yao na mziki.

Kule shida ni wivu,tamaa,chuki na kwanini.

Kwa joshua naona kapata funzo ila target ilikuwa ni yeye.
 
Back
Top Bottom