Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hii gari ya Kichina au?gari lake aina ya Lexus Jeep
Bondia maarufu wa Uingereza na Nigeria,Anthony Joshua amepata ajali ya barabarani katika eneo la Makun, jimbo la Ogun, nchini Nigeria.
Ajali hiyo imetokea katika barabara kuu ya Lagos-Ibadan, ambapo gari lake aina ya Lexus Jeep liligongana na gari lingine ambalo lilikuwa limesimama.
Joshua alipata majeraha madogo, lakini watu wawili waliokuwa kwenye gari hilo wamefariki.
View attachment 3522323View attachment 3522324View attachment 3522325
Labda ametoka kupigana. Si ndio wanavovaaga kwenye ulingoMbona kama kavaa boxer tu...!
Jamaa katoa kafara.Bondia maarufu wa Uingereza na Nigeria,Anthony Joshua amepata ajali ya barabarani katika eneo la Makun, jimbo la Ogun, nchini Nigeria.
Ajali hiyo imetokea katika barabara kuu ya Lagos-Ibadan, ambapo gari lake aina ya Lexus Jeep liligongana na gari lingine ambalo lilikuwa limesimama.
Joshua alipata majeraha madogo, lakini watu wawili waliokuwa kwenye gari hilo wamefariki.
View attachment 3522323View attachment 3522324View attachment 3522325
Mkuu ameenda kuwatembelea wajomba zake.Ukishakuwa level hizo unarudi Africa kufanyaje?
Mungu atuepushie roho za ajali IJN!
Inasemakana Wamekosa hata ambulance ya kumsfirisha akiwa amelala badala yake wamemsafirisha akiwa amekaa kitako kwenye gari ya security😁
Mabeberu wanaionea wivu Nigeria kwa kuwa na mafuta number 1 AfricaAfrica yote ni shithole.