Bondia asiepigika 'Anthony Joshua' kuzichapa kesho na Andy Luiz Jr

Bondia asiepigika 'Anthony Joshua' kuzichapa kesho na Andy Luiz Jr

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Bingwa wa uzito wa juu duniani anayeshikilia mikanda mitatu mikubwa Antony Joshua 'AJ' kesho alfajiri atapanda ulingoni kwenye pambano lake ya 23 kuchapana na Mmexico Andy Ruiz Jr. Hapo awali ilitangazwa AJ atacheza dhidi ya Mmarekani Jarrel Miller lakini ikawa cancelled kutokana na Miller kufail drug test mara3 na nafasi hiyo kuchukuliwa na Andy Ruiz ambaye amepoteza pambano 1 tu kati ya mapambano 33 aliyowahi kucheza, kwa upande wa AJ amecheza jumla ya mapambano 22 na kushinda 21 kwa KO huku 1 akishinda kwa UD, hajawahi kupoteza pambano lolote.

Japo wengi wanachukulia hili pambano ni 'easy money[emoji383]' kwa AJ je kunaweza kutokea UPSET? Let's wait n see....
Screenshot_20190601-173439_1559400172034.jpeg
images%20(2).jpeg
 
AJ atashinda mapema tu
Yap, japo kwa upande wangu nahisi hatashinda kirahisi, kama ni KO basi kuanzia round ya 6 kwenda mbele, kwa muonekano huyu Ruiz hayuko in shape kabisa yaani ni kama guruwe[emoji3], sema nilivyoangalia pambano lake na Joseph Parker nikaona sio mtu wa mchezo, ni tough guy kuliko Miller ama Breazelle(aliyepigana na Wilder)
 
hahaha mahaba yako kwa Josh yanamuogopa Ruiz, Josh is still young, focused, strong and energetic ana stamina ya kuhimili pambano so huyu 'tipwatipwa' wa mexico asitegemee kufua dafu
 
hahaha mahaba yako kwa Josh yanamuogopa Ruiz, Josh is still young, focused, strong and energetic ana stamina ya kuhimili pambano so huyu 'tipwatipwa' wa mexico asitegemee kufua dafu
Unajua kwamba pambano pekee ambalo AJ ameenda Round 12 ni dhidi ya Joseph Parker? Na unafahamu kwamba huyu Ruiz pia alienda Round 12 na huyohuyo Joseph Parker? Jamaa sio wa kumchukulia poa kabisa
 
Huyo kibonge mmexico ni mzur kwao ila kwa AJ lazima atulie.
Pambano pekee ni AJ vs Wilder[emoji54]
AJ na Wilder sio la leo hilo. Wilder tayari katangaza mapambano mawili yanayofatia ni Rematch dhidi ya ORTIZ na FURY
 
Kamuulize Joseph Parker kwamba huyo mmexico ni nan?
Alicheza vizuri sana dhidi ya Parker na pale ndo nilipoona huyu jamaa sio wa kumchukulia poa, ila still hawezi mpiga AJ ingawa ana uwezo wa kumpa tabu
 
Huyo AJ ana ngumi nzito sana natamani akakutane na yule anaepost post hela kwenye mitandao
 
Back
Top Bottom