screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Bingwa wa uzito wa juu duniani anayeshikilia mikanda mitatu mikubwa Antony Joshua 'AJ' kesho alfajiri atapanda ulingoni kwenye pambano lake ya 23 kuchapana na Mmexico Andy Ruiz Jr. Hapo awali ilitangazwa AJ atacheza dhidi ya Mmarekani Jarrel Miller lakini ikawa cancelled kutokana na Miller kufail drug test mara3 na nafasi hiyo kuchukuliwa na Andy Ruiz ambaye amepoteza pambano 1 tu kati ya mapambano 33 aliyowahi kucheza, kwa upande wa AJ amecheza jumla ya mapambano 22 na kushinda 21 kwa KO huku 1 akishinda kwa UD, hajawahi kupoteza pambano lolote.
Japo wengi wanachukulia hili pambano ni 'easy money[emoji383]' kwa AJ je kunaweza kutokea UPSET? Let's wait n see....
Japo wengi wanachukulia hili pambano ni 'easy money[emoji383]' kwa AJ je kunaweza kutokea UPSET? Let's wait n see....