Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Dah uzito tofauti kabisa ,Mayweather hawezi huo mzikiHuyo AJ ana ngumi nzito sana natamani akakutane na yule anaepost post hela kwenye mitandao
Unamaanisha Mayweather?Karibu kwenye ulimwengu wa ndondi naona mgeni[emoji3][emoji3], kwa kukusaidia tu hao watu hawawezi kupigana ni uzito tofauti kabisa sheria haziruhusu. Mayweather ni kama panya tu kwa AJ[emoji23][emoji23][emoji23]. Hebu angalia hii picha halafu uniambie...Huyo AJ ana ngumi nzito sana natamani akakutane na yule anaepost post hela kwenye mitandao
Mimi sio shabiki sana wa huu mchezo ndo mana sijawahi fikiria kama wanaangalia uzito ndo nilikuwa na hamu sana nione nin kitatokea wawakikutanaUnamaanisha Mayweather?Karibu kwenye ulimwengu wa ndondi naona mgeni[emoji3][emoji3], kwa kukusaidia tu hao watu hawawezi kupigana ni uzito tofauti kabisa sheria haziruhusu. Mayweather ni kama panya tu kwa AJ[emoji23][emoji23][emoji23]. Hebu angalia hii picha halafu uniambie...View attachment 1114350
Haiwezi kutokea, wana utofauti mkubwa sana wa weight Mayweather anapigana kwenye uzito wa kilo 60+, AJ anacheza na 100+, wakipanda jukwaa 1 Mayweather tunamtoa na Machela hadi mochwari[emoji3][emoji3][emoji3]Mimi sio shabiki sana wa huu mchezo ndo mana sijawahi fikiria kama wanaangalia uzito ndo nilikuwa na hamu sana nione nin kitatokea wawakikutana
Labda wakakutane mbinguniHuyo AJ ana ngumi nzito sana natamani akakutane na yule anaepost post hela kwenye mitandao
Huyu AJ dawa yake ni Bronzebomber mnyama Wilder.. Ile migumi yake ni kifo tosha
Hicho ndio kilichomuangusha kujiamini sana na alishangaa umemuangusha mtu chini anainuka kisha anakukalisha chini mara 2 game ilikuwa iishe round ya 3 ingekuwa sio kuokolewa na mudaIla Antony Joshua nimegundua hana defence nzuri. Yeye kazi kurusha killer punches ila opponent aki stand ground aka counter act hapo hapo anapigika kiuwepesi sana.
Ni kama Wilder pia hadefend vizuri yeye anataka akikupiga moja akuue.
All in all ukiangalia hili pambano ni kama vile AJ alikua na confidence ya kupitiliza sana. Do not ever underestimate the power of your opponent.
Kibonge ameshachakazwa tayari..!Huyo kibonge mmexico ni mzur kwao ila kwa AJ lazima atulie.
Pambano pekee ni AJ vs Wilder[emoji54]
Duuuh..!AJ hawezi pigwa na huyu[emoji3]
Duuuh..!Alicheza vizuri sana dhidi ya Parker na pale ndo nilipoona huyu jamaa sio wa kumchukulia poa, ila still hawezi mpiga AJ ingawa ana uwezo wa kumpa tabu
Inaonekana unaufuatilia vyema sana mchezo wa boxing chief..!AJ tunamkaliza mapema hata jogoo hajawika kesho wewe ndie utaniletea mrejesho
Tipwa tipwa Ruiz atapigwa mapema sana. Kwanza ana makosa mengi, akikutana na huyo Antony Joshua akafanya makosa ya kipuuzi kama alivyozoea yatamgharimu mapema kabisa.
hahaha mahaba yako kwa Josh yanamuogopa Ruiz, Josh is still young, focused, strong and energetic ana stamina ya kuhimili pambano so huyu 'tipwatipwa' wa mexico asitegemee kufua dafu