Bondia asiepigika 'Anthony Joshua' kuzichapa kesho na Andy Luiz Jr

Bondia asiepigika 'Anthony Joshua' kuzichapa kesho na Andy Luiz Jr

Huyo AJ ana ngumi nzito sana natamani akakutane na yule anaepost post hela kwenye mitandao
Unamaanisha Mayweather?Karibu kwenye ulimwengu wa ndondi naona mgeni[emoji3][emoji3], kwa kukusaidia tu hao watu hawawezi kupigana ni uzito tofauti kabisa sheria haziruhusu. Mayweather ni kama panya tu kwa AJ[emoji23][emoji23][emoji23]. Hebu angalia hii picha halafu uniambie...
tapatalk_1559193621364.jpeg
 
Unamaanisha Mayweather?Karibu kwenye ulimwengu wa ndondi naona mgeni[emoji3][emoji3], kwa kukusaidia tu hao watu hawawezi kupigana ni uzito tofauti kabisa sheria haziruhusu. Mayweather ni kama panya tu kwa AJ[emoji23][emoji23][emoji23]. Hebu angalia hii picha halafu uniambie...View attachment 1114350
Mimi sio shabiki sana wa huu mchezo ndo mana sijawahi fikiria kama wanaangalia uzito ndo nilikuwa na hamu sana nione nin kitatokea wawakikutana
 
Mimi sio shabiki sana wa huu mchezo ndo mana sijawahi fikiria kama wanaangalia uzito ndo nilikuwa na hamu sana nione nin kitatokea wawakikutana
Haiwezi kutokea, wana utofauti mkubwa sana wa weight Mayweather anapigana kwenye uzito wa kilo 60+, AJ anacheza na 100+, wakipanda jukwaa 1 Mayweather tunamtoa na Machela hadi mochwari[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ila Antony Joshua nimegundua hana defence nzuri. Yeye kazi kurusha killer punches ila opponent aki stand ground aka counter act hapo hapo anapigika kiuwepesi sana.
Ni kama Wilder pia hadefend vizuri yeye anataka akikupiga moja akuue.

All in all ukiangalia hili pambano ni kama vile AJ alikua na confidence ya kupitiliza sana. Do not ever underestimate the power of your opponent.
 
Hicho ndio kilichomuangusha kujiamini sana na alishangaa umemuangusha mtu chini anainuka kisha anakukalisha chini mara 2 game ilikuwa iishe round ya 3 ingekuwa sio kuokolewa na muda
 
AJ huwa anachoka haraka, pumzi inakata, na huwa hapendi ngumi zimfikie ni mwoga sana wa ngumi na akipigwa anachanganyikiwa. Hilo lijamaa alilopogana nalo ni lifupi, umbo limekaa kiasara hasana , manyama uzembe sii manyamauzembe, kifutu sii kifutu na mbaya zaidi hakuna tofauti ya mbongo na kifaa cha kukalia , bukta imeningania mgongoni....mwili wote umejikusanuya sehemu moja na linajua kujibu ngumi za double double....AJ anaonekana kama amepungua sana uzito na miguu yake haina nguvu ya kushikilia mwili hasa kwenye misukosuko
 
Huyo kibonge mmexico ni mzur kwao ila kwa AJ lazima atulie.
Pambano pekee ni AJ vs Wilder[emoji54]
Kibonge ameshachakazwa tayari..!
Hivi watu mnamuona Joshua ni bonge la bondia..?
Au ni uzalendo kwa mtu mweusi mwenzetu..!?
Kama mlikuwa mnaamini Anthony Joshua hapigiki,sijui boxing mnaiangaliaje wenzetu..!?
 
Alicheza vizuri sana dhidi ya Parker na pale ndo nilipoona huyu jamaa sio wa kumchukulia poa, ila still hawezi mpiga AJ ingawa ana uwezo wa kumpa tabu
Duuuh..!
Pole sana Kiongozi..!
AJ ameshakula nakozi za Kimexicana..!
 
hahaha mahaba yako kwa Josh yanamuogopa Ruiz, Josh is still young, focused, strong and energetic ana stamina ya kuhimili pambano so huyu 'tipwatipwa' wa mexico asitegemee kufua dafu

Duh
 
Back
Top Bottom