Mkuu tupe matokeo imekuwaje wengine hatukupata bahati ya kuangalia hiyo match.Wale mnaoulizia pambano muda na wakti. Nadhani mapambano ya utangulizi yataanza saa moja jioni usiku. Ila mtanange mkubwa wa AJ na Chibonge Ruiz utaanza kwenye saa sita usiku.
Mimi hua naangalia online. Caution::: uwe na bando la kutosha
Anthony Joshua kashinda kwa point nyingi.Mkuu tupe matokeo imekuwaje wengine hatukupata bahati ya kuangalia hiyo match.
Dah Safi sanaAnthony Joshua kashinda kwa point nyingi.
In short this time AJ alikuja na mbinu ya usiniguse. Alichokua a nafanya ni kutumia mkono wake wa kushoto aka jab kujiweka mbali na Chibonge Ruize. Pia AJ alikuja na mbinu ya kuchezesha miguu na kuzunguka huku na kule ktk kum frastrate Chibonge. Na alim frastrate kweli maana AJ miguu ilikua na speed na hatulii sehem moja.
Basi AJ akawa anamwagia monde nzito za kushutukizia za uso Ruiz wa watu.
Mwisho AJ kashinda kwa point nyingi za kuchukua mikanda yake