Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Wale mnaoulizia pambano muda na wakti. Nadhani mapambano ya utangulizi yataanza saa moja jioni usiku. Ila mtanange mkubwa wa AJ na Chibonge Ruiz utaanza kwenye saa sita usiku.
Mimi hua naangalia online. Caution::: uwe na bando la kutosha
Mimi hua naangalia online. Caution::: uwe na bando la kutosha