Bondia Cheka aanza form one!

Bondia Cheka aanza form one!

Mbona zipo nyingi tu,, ku bypass hiyo system ya kijinga ya nchi yetu aende British council pale kuna coz fupi fupi including English haichukui hata mwaka, wana mbrash pale then anapata cheti anaendelea!!! Upo?
 
Jamaa mwenye ngumi kama jiwe, Francis Cheka amepata ofa ya kusoma form one katika shule moja hapo Moro.

Wiki ijayo ataanza pre form one. Ofa hyo inakuja wiki moja baada ya kupewa viwanja viwili kama zawadi na serikali.
Vipi ameshamaliza form four?
 
Jamaa mwenye ngumi kama jiwe, Francis Cheka amepata ofa ya kusoma form one katika shule moja hapo Moro.

Wiki ijayo ataanza pre form one. Ofa hyo inakuja wiki moja baada ya kupewa viwanja viwili kama zawadi na serikali.
Vp jamaa ndo ndo anamaliza form 6 mwaka huu nini?
 
Yule waziri Mathayo naye angefanya kama Cheka aanze kutumia Jina lake halisi Mtoto wa Kiongozi wa Nchi jina lake halina ubini na baba yake? namnani huyu Havae Msuya
Kvp mkuu yani matayo david matayo ni mtoto wa Cleopa Msuya?
 
Ni ujinga!!! Form one wanafundisha nn?? Angalia mtaala anoataka masomo atakayosoma, historia za mkwawa,? define density,? types of rainfall,? importance of mashroom? Na mengine mengi ya type hiyo. Huyu angetafuta college akapiga certificate course flan specific mfano biashara n.k maana cheka ni mtu mzima amezunguka sehem nyingi na anajua mambo mengi elimu yake "practically " ni kubwa kuliko hata form four Leaver .. watanzania tubadilike Kwa hili jamani ...... " mtazamo tu "
Aanze Certificate kwa cheti kipi alichonacho? Kama ingekuwa hivyo si hata mimi baada ya kuua Nguzo Primary ningepiga zangu cheti!
 
Aliacha baada ya mwezi hivi.Sahizi yuko Msumbiji ndo anaishi huko.
 
Back
Top Bottom