Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi ameshamaliza form four?Jamaa mwenye ngumi kama jiwe, Francis Cheka amepata ofa ya kusoma form one katika shule moja hapo Moro.
Wiki ijayo ataanza pre form one. Ofa hyo inakuja wiki moja baada ya kupewa viwanja viwili kama zawadi na serikali.
Vp jamaa ndo ndo anamaliza form 6 mwaka huu nini?Jamaa mwenye ngumi kama jiwe, Francis Cheka amepata ofa ya kusoma form one katika shule moja hapo Moro.
Wiki ijayo ataanza pre form one. Ofa hyo inakuja wiki moja baada ya kupewa viwanja viwili kama zawadi na serikali.
Kvp mkuu yani matayo david matayo ni mtoto wa Cleopa Msuya?Yule waziri Mathayo naye angefanya kama Cheka aanze kutumia Jina lake halisi Mtoto wa Kiongozi wa Nchi jina lake halina ubini na baba yake? namnani huyu Havae Msuya
Aanze Certificate kwa cheti kipi alichonacho? Kama ingekuwa hivyo si hata mimi baada ya kuua Nguzo Primary ningepiga zangu cheti!Ni ujinga!!! Form one wanafundisha nn?? Angalia mtaala anoataka masomo atakayosoma, historia za mkwawa,? define density,? types of rainfall,? importance of mashroom? Na mengine mengi ya type hiyo. Huyu angetafuta college akapiga certificate course flan specific mfano biashara n.k maana cheka ni mtu mzima amezunguka sehem nyingi na anajua mambo mengi elimu yake "practically " ni kubwa kuliko hata form four Leaver .. watanzania tubadilike Kwa hili jamani ...... " mtazamo tu "
Atakuwa kashafika chuo kikuu sahiviVp jamaa ndo ndo anamaliza form 6 mwaka huu nini?