barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ningependa wapige mkwanja mwingine ila Maywether aende MMA.All in all kwa sis watu wa makonzi it was fantastic nilijua all along Connor hawezi mpiga Money Weather kwenye box kama vile maywether hawezi mpiga connor kwenye MMA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unazungukazunguka, punguza wivu! Floyd is a winner!Avuke mipaka amfuate ktk mchezo wake!
Mikwara shazi na kudindisha bolo, alidhani wanaenda kushindana punyeto!Pumbavu zake Connor
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Kashinda ndondo, huo ndo ukweli! Na manyumbu kama kawa hawakosi.Mbona unazungukazunguka, punguza wivu! Floyd is a winner!
Mechi yake ya kwanza then akamchagua Mayweather!? Akina Cheka hakuwaona?
Ina maana Gregory hakujua kuwa anaenda kukutana na boxer?Hili ndo nalosisitiza! Watu wanamuona mayweather genius kwa kumpiga mtu ambaye sio boxer hata!
Aitishe tena pambano la mwisho na yule mlatino anayesymbua watu sasa hivi!
Mkuu mbona huna huruma? Unataka Floyd atolewe damu hahahahaNingependa wapige mkwanja mwingine ila Maywether aende MMA.
He banked in $100M.. Just on a single night.. Unafikiri watu wajinga?Mechi yake ya kwanza then akamchagua Mayweather!? Akina Cheka hakuwaona?
Utapigwa ila utakuwa tajiri sana!Mywether akija bongo nahitaji pambano na yeye la round 12, lazima nimsambaratishe round ya 7...