Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Alimchagua huyo sababu alijua hawezi kumpiga kwasababu sio pro boxer. Pili, hilo pambano lingevutia wengi (white boys vs black boys)..sasa mbona amepigana na gregor mwenye miaka 29?....Mayweather anapenda pesa...hela zake zikipungua kidogo atarudi ulingoni.....huyu bado atapigana tu
huyu mcgregor ndio alililia sana kupambana na money man...kumbe hana lolote anataka pesa tuBingwa wa karate ktk sheria za boxing, wangeenda sheria za UFC/ MMA.
Hivi hujui kutopambanishwa heavyweight na featherweight analindwa nani?analindwa featherweight.antony joshua akipambana na mayweather atafia ulingoni....ni mzito kama mcheza sumo na hana punzi
Na atakaporud ndo atachafua record yake sasaasasa mbona amepigana na gregor mwenye miaka 29?....Mayweather anapenda pesa...hela zake zikipungua kidogo atarudi ulingoni.....huyu bado atapigana tu
UFC hakuna pesa ya kumlipa mayweather...hata akienda huko atawadunda tu wote kama bingwa wao ndio huyu mzembe mcgregor hao wengine watakuwajeBingwa wa karate ktk sheria za boxing, wangeenda sheria za UFC/ MMA.
Pambano lilikuwa boxing au Martial!? So unataka kusema jamaa yako aliparamia ulingo usiomuhusu?Hata Misosi FC walishinda PAMBANO la fainali ndondo, na ni wapi nimesema Mcgregor HAJAPIGWA? Naona wewe ndo uko infatuated na Mayweather kuliko uhalisia.
Una kichwa kizito, labda nikulainishie point yangu ni: Mayweather hastahili kuonekana kuwa ni genius wa boxing kupitia pambano hili, yuko vizuri ila sio kupitia pambano hili sababu aliyepigana nae sio BOXER.
Mayweather ni moneymaker, hiyo haina doubt, hata akipigana na bondia wetu mmoja wa jkt bado atapiga hela ya hatari, hela zinamfuata, haina ubishi! Hata hawa anaopigana nao wanatoka kada tofauti wanafuata pesa tu!!UFC hakuna pesa ya kumlipa mayweather...hata akienda huko atawadunda tu wote kama bingwa wao ndio huyu mzembe mcgregor hao wengine watakuwaje
Embu iseme kwa sauti tusikie
Mc Gregory anajisahau anapiga ngum za karate,ngum wakipgana kina Tyson bhana.Hili ndo nalosisitiza! Watu wanamuona mayweather genius kwa kumpiga mtu ambaye sio boxer hata!
Aitishe tena pambano la mwisho na yule mlatino anayesymbua watu sasa hivi!
Alimchagua? Msiwe mnarukia mambo msiyoyajua! McGregor ndiye aliyeanza kuchonga kwamba anaweza kupigana na Mayweather. Mayweather akasema kama kuna mpunga wa kueleweka why not?Alimchagua huyo sababu alijua hawezi kumpiga kwasababu sio pro boxer. Pili, hilo pambano lingevutia wengi (white boys vs black boys)..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee malafyale una kichwa kigumu sana kuelewa kitu chepesi!Pambano lilikuwa boxing au Martial!? So unataka kusema jamaa yako aliparamia ulingo usiomuhusu?
Mkishindwa msitafute visingizio DHAIFU!
Sasa Fanya hivi,andaa pambano mwekee may $500million,afu umuingize ulingoni,Kwenye uzito wake ....huyu hapa aliyeshindikana ...View attachment 575774
Alitokea professional boxer wa uzito wake atakubali?? Kuna sababu Mayweather alimkunalia Mcgregor!Alimchagua? Msiwe mnarukia mambo msiyoyajua! McGregor ndiye aliyeanza kuchonga kwamba anaweza kupigana na Mayweather. Mayweather akasema kama kuna mpunga wa kueleweka why not?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitokea professional boxer wa uzito wake atakubali?? Kuna sababu Mayweather alimkunalia Mcgregor!Alimchagua? Msiwe mnarukia mambo msiyoyajua! McGregor ndiye aliyeanza kuchonga kwamba anaweza kupigana na Mayweather. Mayweather akasema kama kuna mpunga wa kueleweka why not?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni boxers wangapi wanataka kupigana nae na hawapi attention? Amir Khan alitaka kupigana nae mbona May alichomoa?Alimchagua? Msiwe mnarukia mambo msiyoyajua! McGregor ndiye aliyeanza kuchonga kwamba anaweza kupigana na Mayweather. Mayweather akasema kama kuna mpunga wa kueleweka why not?
Sent using Jamii Forums mobile app
49 kapigana na mabondia mkuu kifupi jmaa anajua hata kama huwa kuna figisu ila jmaa ngumi anajuaRaundi ya kumi,ila is not fair boxer vs karate.hana pumz mc Gregory. Mayweather tafuta mabondia ili tufaham ujuz wako.shame
Sent using Jamii Forums mobile app
May weather atapotea mazima!kule hakuna trick ya kumgeuzia mtu mgongo ili refa akulinfe kule unakong'otwa vyovyote vile ukaavyo na ukijilegeza hata roba unapigwa kwa kifupi iko rafu sana yaani ref kama mtunza muda tu pale ma hammer punch ya kisogo yanahusika sasa kwa box ambapo akikupa mgogo ref anaingilia kwa kule unachezea flying kick ya mgongo wanakutegua kiuno !Ningependa wapige mkwanja mwingine ila Maywether aende MMA.
Ataitisha atashinda watasema kanunua aitishe tena ili mradi tu hawataki kukubali kuwa jmaa mkali kumbuka 49 kapigana na mabondia tena wazuri hasa bora astaafuHili ndo nalosisitiza! Watu wanamuona mayweather genius kwa kumpiga mtu ambaye sio boxer hata!
Aitishe tena pambano la mwisho na yule mlatino anayesymbua watu sasa hivi!
Ukisema yeyote utakosea sema wa uzito wake!MAYWEATHER IS BEST OF THE BEST....HAKUNA BOXER YOYOTE DUNIANI ANAEWEZA KUMPIGA.....