Bondia Floyd Mayweather amchakaza Conor McGregor kwa TKO ktk raundi ya 10

My kabakiza pambano moja astafu kwahiyo waandaaji wanajaribu kuraise a new hero. Mambo huenda kwa mpangilio bandugu
 
Angepigana na nani sasa?

Hivi ulitegemea nini ktk hili pambano?? Huyu sio professional boxer, mpaka kafika raundi hii maana yake mayweather ndo hamna kitu, yeye mayweather angepigana na jamaa ktk gemu lake aone kama angefika raundi ya pili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…