Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
ya 10Round ngapi hamna knock out?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ya 10Round ngapi hamna knock out?
Basi huyo jamaa hatapigwa tenaya 10
Duh kumbe huyu Connor hamna kitu kabisa....Game is over.
Maywether winner
Ile alibebwa tu! Hakushinda kihalali ni mweupe kama anavyoonekana! Anadhani ngumi ni maneno, hahahah!Uyu mzungu aliwezaje kumtandika mfilipino
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Mfilipino Yupi Pacquiao auUyu mzungu aliwezaje kumtandika mfilipino
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Hivi ulitegemea nini ktk hili pambano?? Huyu sio professional boxer, mpaka kafika raundi hii maana yake mayweather ndo hamna kitu, yeye mayweather angepigana na jamaa ktk gemu lake aone kama angefika raundi ya pili!

Nyie watu mnasikitisha sana!
Knock out raundi ya 10...refa kaepusha kifo kwa mzungu.Round ngapi hamna knock out?