beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Mkuu inaelekea huelewi mambo ya boxing, unafikiri ni kama ndondo cup!Hivi mnaangalia nini? Maana mywether kesha pewa ubingwa kabla ya kupigana. Hata akidundwa atalipwa mara mbili zaidi ya aliteshinda. Maana atapewa usd 300mil, wakati mwenzake ni usd 100mil
Sent using Jamii Forums mobile app
10
Avuke mipaka amfuate ktk mchezo wake!Angepigana na nani sasa?
Raundi ya kumi,ila is not fair boxer vs karate.hana pumz mc Gregory. Mayweather tafuta mabondia ili tufaham ujuz wako.shame
Pumbavu zake ConnorIle alibebwa tu! Hakushinda kihalali ni mweupe kama anavyoonekana! Anadhani ngumi ni maneno, hahahah!
Kwa hiyo Mayweather ni genius, eti eeh!Mayweather anasema, his game plan imefanikiwa, ilikuwa ni kumwacha jamaa acheze akimaliza game yake ammalize, and he did it.
Mzungu kapingwa knock out raundi ya 10
Jamaa anatisha basiKnock out raundi ya 10...refa kaepusha kifo kwa mzungu.
Mfilipino gani? Hiyo ni mechi yake ya kwanza ya boxingUyu mzungu aliwezaje kumtandika mfilipino
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Hakupigana na man PAC?
Hili ndo nalosisitiza! Watu wanamuona mayweather genius kwa kumpiga mtu ambaye sio boxer hata!Raundi ya kumi,ila is not fair boxer vs karate.hana pumz mc Gregory. Mayweather tafuta mabondia ili tufaham ujuz wako.shame
Sent using Jamii Forums mobile app
Nieleweshe sasa, sasa kuna haja gani ya kufanya usajili kama wa mpira wa miguu? Unamsajiri pogba kwa dau kubwa, neymer kwa hela ndefu hafu haleti ushindi.Mkuu inaelekea huelewi mambo ya boxing, unafikiri ni kama ndondo cup!
Sent using Jamii Forums mobile app