Bondia Floyd Mayweather amchakaza Conor McGregor kwa TKO ktk raundi ya 10

Bondia Floyd Mayweather amchakaza Conor McGregor kwa TKO ktk raundi ya 10

346cb8ac600e6881859ef927c3d3d561.jpg
All I do is winning no matter what. The face of champ.
 
Raundi ya kumi,ila is not fair boxer vs karate.hana pumz mc Gregory. Mayweather tafuta mabondia ili tufaham ujuz wako.shame

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndo nalosisitiza! Watu wanamuona mayweather genius kwa kumpiga mtu ambaye sio boxer hata!
Aitishe tena pambano la mwisho na yule mlatino anayesymbua watu sasa hivi!
 
Da! We jamaa
Hongera kwa kufungua uzi

Kada wa kwenye CCM mpya
 
bora kuangalia mechi ya MATUMLA vs CHEKA kuliko hii ambayo mshindi anajulikana kabla ya mechi yenyewe
 
Mkuu inaelekea huelewi mambo ya boxing, unafikiri ni kama ndondo cup!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nieleweshe sasa, sasa kuna haja gani ya kufanya usajili kama wa mpira wa miguu? Unamsajiri pogba kwa dau kubwa, neymer kwa hela ndefu hafu haleti ushindi.

Wangeweka wazi kuwa atakayeshinda usd hizo na ziwe kubwa kuliko za aliyeahindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom