mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Kwani huyu jamaa hii kazi ya ubondia ameanza lini?maana naona wanampambanisha na watu maarufu wakati uwezo wake ni wa chinimandonga bana eti ajali kazini,masifa ya kijinga herI ajiuzulu umri umeshakwenda