M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 8,860 Reaction score 11,554 Jul 31, 2022 #181 mnengene said: mandonga bana eti ajali kazini,masifa ya kijinga herI ajiuzulu umri umeshakwenda Click to expand... Kwani huyu jamaa hii kazi ya ubondia ameanza lini?maana naona wanampambanisha na watu maarufu wakati uwezo wake ni wa chini
mnengene said: mandonga bana eti ajali kazini,masifa ya kijinga herI ajiuzulu umri umeshakwenda Click to expand... Kwani huyu jamaa hii kazi ya ubondia ameanza lini?maana naona wanampambanisha na watu maarufu wakati uwezo wake ni wa chini
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,698 Jul 31, 2022 #182 Mandonga ni mnynyua vyuma na si bondia , akatafute kazi nyingine ya kufanya na si ubondia!
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Jul 31, 2022 #183 jerryempire said: mimi ni Mtanzania but tunafanya upendeleo sana kwa mabondia wetu wa ndani hasa pale wapambanapo na mabondia toka nje Click to expand... Kulikuwa hakuna haja ya kuanza na utambulisho wa kujifanya wewe ni Mtanzania... ??? Mamluki wahed
jerryempire said: mimi ni Mtanzania but tunafanya upendeleo sana kwa mabondia wetu wa ndani hasa pale wapambanapo na mabondia toka nje Click to expand... Kulikuwa hakuna haja ya kuanza na utambulisho wa kujifanya wewe ni Mtanzania... ??? Mamluki wahed
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Aug 1, 2022 #184 Hivi Mandonga ni mtu wa wapi yule?
BinSalum7 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 1,733 Reaction score 3,847 Aug 11, 2022 #185 ki2c said: Hivi Mandonga ni mtu wa wapi yule? Click to expand... Morogoro.
byeyombo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 2,647 Reaction score 4,184 Dec 27, 2022 #186 Kuna dada nimeona anapigana na wigi hahaa..