Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Sioni popote alipo potosha.Acha upotoshaji, Malawi haijaruhusu matumizi ya bangi, ukikamatwa unalima na unatumia utachukuliwa hatua za sheria. Watanzania tunapenda sana kupotosha mambo.
Kilimo cha bangi ni kwa wenye leseni tu nao hawaruhusiwi kuitumia, bangi inauzwa na kununuliwa na wenye leseni tu kwa matumizi ya malighafi za viwanda husika vilivyoidhinishwa na serikali kwa ajili ya utengenezaji wa dawa kama ilivyo sumu ya nyoka.
Hapo ilibidi wamwongeze na Snoop DoggSioni popote alipo potosha.
Angeliandika kuwa Malawi imeruhusu matumizi ya bhangi hapo sawa, lakini hili la kutafuta boxer mvuta bhangi ili kupromote zao lao la kibiashara siyo upotoshaji huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tyson huwa haeleweki
Mkuu hcho Kitu cha Malawi acha kabisa ni dizaini ya zile ganja ambazo ukiwa unachoma zinakuwa na nta kwa nyumaAsante sana angalau nimepata nchi ya kwenda kula bata wakati wa likizo.
Na bila kumsahau Redman na B Real 😁Hapo ilibidi wamwongeze na Snoop Dogg
Kama wote wataomba kibali cha ulimaji,hali itakuwaje? By the CCTV camera ziwekwe mashambani kukamata wezi maana wabongo watazamia tu hukoAcha upotoshaji, Malawi haijaruhusu matumizi ya bangi, ukikamatwa unalima na unatumia utachukuliwa hatua za sheria. Watanzania tunapenda sana kupotosha mambo.
Kilimo cha bangi ni kwa wenye leseni tu nao hawaruhusiwi kuitumia, bangi inauzwa na kununuliwa na wenye leseni tu kwa matumizi ya malighafi za viwanda husika vilivyoidhinishwa na serikali kwa ajili ya utengenezaji wa dawa kama ilivyo sumu ya nyoka.
Mbona hausemi kama watz wote wataomba kibali cha kuwinda wanyama itakuwaje!Kama wote wataomba kibali cha ulimaji,hali itakuwaje? By the CCTV camera ziwekwe mashambani kukamata wezi maana wabongo watazamia tu huko
Hii ni achievement na inafaida kubwa sana kwa nchi, nchi itajulikana na bidhaa zake zinaweza kupata masoko😀😀😀 Sasa akiwa balozi wa bangi kaziyake ndio nini,kutangaza kama bangi ya malawi ndio nzuri na kalizaidi!!.
Nasiku akitembelea hapa Tanzania aje na ujumbehuo.
Sasa siruhusaAcha upotoshaji, Malawi haijaruhusu matumizi ya bangi, ukikamatwa unalima na unatumia utachukuliwa hatua za sheria. Watanzania tunapenda sana kupotosha mambo.
Kilimo cha bangi ni kwa wenye leseni tu nao hawaruhusiwi kuitumia, bangi inauzwa na kununuliwa na wenye leseni tu kwa matumizi ya malighafi za viwanda husika vilivyoidhinishwa na serikali kwa ajili ya utengenezaji wa dawa kama ilivyo sumu ya nyoka.
Wapige duo na wiz khalifaTanzania bado hatujachelewa tunaweza kumualika Snoop doggy akafanya brand ya kibabe sana
Tungeanza Kwanza na shemeji yetu uyu [emoji2][emoji116]Tanzania bado hatujachelewa tunaweza kumualika Snoop doggy akafanya brand ya kibabe sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania bado hatujachelewa tunaweza kumualika Snoop doggy akafanya brand ya kibabe sana
Hatari hiyo mkuuWapige duo na wiz khalifa
Tatizo la huyu akivuta kitu lazima aseme, "UUUURGN"Tungeanza Kwanza na shemeji yetu uyu [emoji2][emoji116]View attachment 2031382
[emoji23] watatisha kama walivotisha kwenye ile movie Mack and Devin Go to High schoolHatari hiyo mkuu