Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana, bondia Hassan Mwakinyo,jamaaa yuko vizuri kwenye combination Taifa limsapoti kaleta heshima kubwa Sana.Niko hapa London naangalia TV channel ya sky action bondia kutoka Bongo anaitwa Hassan Mwakiyo amemchapa vibaya sana bondia Sam Eggington katika round ya pili. Kwa jinsi navyomwona anaweza kufika mbali na akachukua mikanda inayotambulika na yenye heshima duniani. Siyo kama ile ya kina Mamtula ya uchochoroni.
![]()
Anatakiwa aungwe mkono kafanya vizuri, hapo wanahitajika waziri wa habari na waziri wa utalii kumpa sapoti ya kifedha na kumtangaza na kuitangaza nchi kwa mali na vitendea kazi.Aisee huyu ni namba nyingine. Hata pigano analopigana siyo la uchochoni. Main event ni kati ya Amir Khan vs Samuel Vargas. Na ana miaka 23 tu. Watangazaji nguli wa Sky wamemsifu sana.
Bora unyamaze Kama hujui mambo ya ngumi, si kila unachoona useme bwana,!we unafikiri wanapigana bila kujua uzito gani? Wabongo ndo maana wengi hamuendelei.Kapigana na mtu mwenyewe amekondeana hivyo, ndiyo kujisifu!!...akutane na jitu kama Amir khan uone 😀😀😀
Niko hapa London naangalia TV channel ya sky action bondia kutoka Bongo anaitwa Hassan Mwakiyo amemchapa vibaya sana bondia Sam Eggington katika round ya pili. Kwa jinsi navyomwona anaweza kufika mbali na akachukua mikanda inayotambulika na yenye heshima duniani. Siyo kama ile ya kina Mamtula ya uchochoroni.
![]()
Hahahaha, hakuna taabu mkuu,"Uandishi uchwara"
Ulipaswa kuweka neno Bondia.
Kwa staili yako ni kama unaandikia gazeti la Kiu na Ijumaa wikienda