Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
HujakoseaAlikuwa pia ni mbongo movie l think...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HujakoseaAlikuwa pia ni mbongo movie l think...
Refa angeacha jamaa apigwe KO
Watamlisha biscuitAkae hukohuko asirud bongo akirud tu amekwisha kindondi
Kipigo alichopata ni zaidi ya KO. Refa asingeweza kuacha kwani jamaa alishapigwa bumbuazi...hawezi kukwepa ngumi wala hawezi kurusha ngumi. Ingewezakumletea madhara makubwa.
hata mimi bondiaTupeni namba zake
mana nna ndoto za kuolewa na bondia
Dstv wanarusha hili pambano