Bondia Mwakinyo ashiriki zoezi la uokoaji Kariakoo

Bondia Mwakinyo ashiriki zoezi la uokoaji Kariakoo

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
Wakati zoezi la uokoaji likiwa linaendelea eneo la Kariakoo jengo lilipoanguka, Bondia wa Kimataifa wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameshiriki katika zoezi hilo.

My take: serikali isimamie hili jambo kwa weledi tupunguze chip popularities, professionals waachwe wafanya uokozi.

Sio hawa wasanii kupeleka sanaa zao.

Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa

Msanii amejitolea kusaidia.. " anataka cheap popularity "

wasipojitokeza..

"Hawa saidi jamii"

Hakika huwezi kuiridhisha jamii..
Kwahiyo ni sahihi watu wote tujitokeze pale(ule utepe maana yake nini?). Lazima kuwe na utaratibu maalumu.
 
Kipindi kama hiki ndio tunammiss Le Mutuz
 
"Nimefika hapa Kariakoo kwa lengo la kusaidiana na waokoaji wengine, kiukweli sio kazi rahisi
1732013125307.jpg
, ukifika hapa maumivu yake ni zaidi ya unayoyapata ukiwa unafatilia taarifa mtandaoni kwasababu unasikia sauti za watu wakilia kutaka msaada. Bado chini kuna watu ila changamoto ni kwamba ukuta wa jengo ni mgumu sana alafu mpana kwahiyo sio rahisi kuwafikia"

"Sio jambo la masaa matatu wala manne, linahitaji muda mrefu kuwafikia. Kesho Inshaallah nitarudi tena kuendelea na zoezi"- Mwakinyo
 
"Nimefika hapa Kariakoo kwa lengo la kusaidiana na waokoaji wengine, kiukweli sio kazi rahisiView attachment 3156033, ukifika hapa maumivu yake ni zaidi ya unayoyapata ukiwa unafatilia taarifa mtandaoni kwasababu unasikia sauti za watu wakilia kutaka msaada. Bado chini kuna watu ila changamoto ni kwamba ukuta wa jengo ni mgumu sana alafu mpana kwahiyo sio rahisi kuwafikia"

"Sio jambo la masaa matatu wala manne, linahitaji muda mrefu kuwafikia. Kesho Inshaallah nitarudi tena kuendelea na zoezi"- Mwakinyo
Ahsante kwa taarifa
 
Daa yan inatia huruma sana kusikia binadamu wenzetu wakilia hko down na uwezo wa kuwasaidia ni mdogo.
 
yule mshangazi kutokea zanzibar yeye kaenda ulaya kwenye jiitwenti kukutana na egonga wakati raia wanatabika na majanga huku
 
Back
Top Bottom