Kwahiyo ni sahihi watu wote tujitokeze pale(ule utepe maana yake nini?). Lazima kuwe na utaratibu maalumu.Msanii amejitolea kusaidia.. " anataka cheap popularity "
wasipojitokeza..
"Hawa saidi jamii"
Hakika huwezi kuiridhisha jamii..
Hua inamaanisha nini watu wakisema wasanii wawe mstari wa mbele kwenye jamii?Kwahiyo ni sahihi watu wote tujitokeze pale(ule utepe maana yake nini?). Lazima kuwe na utaratibu maalumu.
Ahsante kwa taarifa"Nimefika hapa Kariakoo kwa lengo la kusaidiana na waokoaji wengine, kiukweli sio kazi rahisiView attachment 3156033, ukifika hapa maumivu yake ni zaidi ya unayoyapata ukiwa unafatilia taarifa mtandaoni kwasababu unasikia sauti za watu wakilia kutaka msaada. Bado chini kuna watu ila changamoto ni kwamba ukuta wa jengo ni mgumu sana alafu mpana kwahiyo sio rahisi kuwafikia"
"Sio jambo la masaa matatu wala manne, linahitaji muda mrefu kuwafikia. Kesho Inshaallah nitarudi tena kuendelea na zoezi"- Mwakinyo
Daa yan inatia huruma sana kusikia binadamu wenzetu wakilia hko down na uwezo wa kuwasaidia ni mdogo."Nimefika hapa Kariakoo kwa lengo la kusaidiana na waokoaji wengine, kiukweli sio kazi rahisiView attachment 3156033, ukifika hapa maumivu yake ni zaidi ya unayoyapata ukiwa unafatilia taarifa mtandaoni kwasababu unasikia sauti za watu wakilia kutaka msaada. Bado chini kuna watu ila changamoto ni kwamba ukuta wa jengo ni mgumu sana alafu mpana kwahiyo sio rahisi kuwafikia"
"Sio jambo la masaa matatu wala manne, linahitaji muda mrefu kuwafikia. Kesho Inshaallah nitarudi tena kuendelea na zoezi"- Mwakinyo