Bonge la Ngoma: Nikki Mbishi Fit Mama. Sikiliza mwenyewe hapa

Vesi Moja tuu ama πŸ€”

Dahh unatamani isiiishe πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Kutumia sauti ya rais kwenye muziki hivi inaruhusiwa Tanzania? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kutumia sauti ya rais kwenye muziki hivi inaruhusiwa Tanzania? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio kutumia tuu sauti


Hii ngoma Mama mwenyewe Katia vocal akiwa booth huoni hapo ft Mama SamiaπŸ˜†
 
Sijasikiliza hiyo ngoma ila ni kali sana hasa hapo aliposema Tanzania nchi yangu πŸ”₯
 
Wanasema umekuwa mpole sana hukemei, wanakushinda hata WALOKOLE bwana(Hapa anamaanisha Mama anashindwa na Gwajima)πŸ˜›
 
Acha sauti hata jina tu hairuhusiwi. Tatizo rais mwenyewe anajitakia
We jamaa utakuwa Tisiii na umeweka picha ya Lissu ili kuwapoteza maboya

Watu wanabidi kuwa makini na wewe utakuwa upo hapa kwa Kazi maalumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…